ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
[emoji1] [emoji16]
Mnaanza kuweweseka sasa Huh!..
Hii ni test tu, sasa shughuli yenyewe si ndo mtazimia kabisa..
Na bado! [emoji28]
Naona picha linaelekea kuisha

Tumewachia marekani wa test sisi tumesha maliza ku test sasa tume ya bebesha mizigo mizito kwa safari endapo tuta zinguliwa!
Hawaku msom kim ratiba yake ipo wazi kila week alisem ata jaribu !!!
Kama walimsoma wambiye waliangushe likiwa huko hewani adi sasa marekani hajuwi haya mdudu makubwa ya maangamizi yana tengenezewa wapi hko north Korea marekani waliwahi kupiga mapicha ya satellite zikaonyesha watu wana cheza mpira wa kikapu!!!!
Hakuna ushahidi ambao marekani alisha toa kuwa hiyo mizigo ya kim kuwa ipo sehemu fulani huwa anasemga yawezekana limerushwa kutoka kutoka mji fulani Nalendwa, hushangai lile dude pale linaporushwa kunaonekana kuna miti lakini miti haitikisiki kwa upepo wa hilo dude pia mazingira hayasomeki!!!?
Yeye marekani hiyo fataki yake inaonekana ilivyopata shida kuruka na speed yake inaonekana haipo sawa kutokana na mawimbi ya moshi!!!!
![]()
Naona picha linaelekea kuisha
Hapo itakuwa vita ya 3 ya dunia unajua walio nyuma ya kiduku au ujuiKumbuka pia kuwa kama hii shughuli ipo atapigana na nchi zaidi ya moja.
Ni kweli. Unajumbuka vita ya kwanza ya ghuba? Makombora ya kizamani ya sadam husein (SCUD) yalipenya ulizi wa marekani uitwao PATRIOT. Na hata yaliyotunguliwa mabaki yalifika na kusababisha maafa.Wajinga ndio waliwao! Anachotaka marekani ni kuwauzia Japan na Korea kusini hizo THAAD! Wala hazina uhakika wa kuzuia missile kwenye mazingira halisi ya kivita!
Ni kweli. Unajumbuka vita ya kwanza ya ghuba? Makombora ya kizamani ya sadam husein (SCUD) yalipenya ulizi wa marekani uitwao PATRIOT. Na hata yaliyotunguliwa mabaki yalifika na kusababisha maafa.
ANGALIZO: Dunia inaelekea kwenye vita ya 3 pasipo sababu za msingi. Hii inatokana na jamii moja kuwa na mazoea ya kuwawekea wengine VIKWAZO.
Mojawapo ya sababu ya hitler kuivamia ulaya magjaribi hhivyo kupelekea vita ya pili ya dunia ni VIKWAZO kutoka kwa mwingereza
Sent using Jamii Forums mobile app
Vikwazo vitakuwa history tena?
Sasa mbona hapa jana kalalamika kuvihusu mpaka anatishia kuwa akiendelea kubanwa atakinukisha?! yani analazimisha sasa..
Halafu inaonekana amekuwa anakufa na tai shingoni kwa muda ila kapata jeuri ya kuongea sasa baada ya kuona hayo mapipa yake yanaweza kufika mainland US.
Aangalie yasiishie njiani tu...lol
Wakati mwingine comments zenu zinashangaza kidogo, eti "mapipa ya KIM?" - sijui background yako ni ya fani ipi lakini sitegemei mwanasayansi anaweza kutoa such an unfortunate comments/remarks, oh yes always dwelling on misinformation/propaganda za coldwar era!!!
Mkisikia Uncle SAM kafanya majaribio ya rail GUN au silaha zinazo tumia Microwave au Lasers mnamsifia kweli kweli wakati mwingine mnaongeza chumvi - kwenu nyinyi the World is America!!! Yaani mnakuwa na dhana potofu ya kufikiri Mataifa mengine hayana watu/wanasayansi wenye uwezo mkubwa kiakili/ubunifu kwenye nyanja za roketi science pamoja na uhundaji wa formidable silaha za kijeshi za kujilinda, actually Mataifa hayo yana run neck to neck na USA katika fani tajwa hapo juu, sekta nyingine wanawa-surpass USA. .
Labda nikuhoji swali dogo, je, ni Mataifa mangapi Duniani yenye uwezo wa KIM wa kuhunda carrier rocket zenye uwezo wa kuruka mpaka kufikia altitude ya 3,500Km above Earth - hiyo ilijaribiwa juzi juzi na Wanasayansi wa Korea Kasikazini, hilo la kwanza; je, una habari kwamba wana sayansi wa Kim miaka ya nyuma walifanikiwa kusimika a Geo Stationally Satellite kwenye Orbit slot ambayo footprint yake ina-cover Korea zote,part ya Urusi, Uchina na Japan ina run in Sync na mzunguko wa Dunia, ukiwa na darubini kali ukiangalia kwenye outer space unaweza kufikiri Satellite imesimama, je, unajua kwamba ili ufanikishe kazi hiyo satellite inapaswa kurushwa umbali wa 36,000Km above Earth repeat 3.6 times ten power four Km juu ya usawa wa Dunia hawa mnao waona ni mbumbumbu kiufundi walifanikiwa vipi? Haya tuje kwenye uwezo wao wa kuhunda thermonuclear bombs vile vile na uwezo wao katika nyanja za ICT - nani anaweza kubeza beza Taifa lenye uwezo mkubwa kisayansi/tekinolojia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee umenichekesha sanaaaa mpaka nimepaliwa Et kibano hukiwezi[emoji23] [emoji23] .Ili uwe mwanajeshi kamili lazma upitie misukosuko ndo kama hyo sasa[emoji38] [emoji38]Duuuh!, ngoja kwanza..
ze kokuyo hebu njoo hapa hiki kibano sikipati mwenyewe asee!
Halafu wewe ndo ulinifunza kusema mapipa...lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee umenichekesha sanaaaa mpaka nimepaliwa Et kibano hukiwezi[emoji23] [emoji23] .Ili uwe mwanajeshi kamili lazma upitie misukosuko ndo kama hyo sasa[emoji38] [emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nimecheka sana aseeeHahah!, kwa kweli kupitia misukosuko.
Sio kibano hiko asee!
Ikabidi niite support kwanza kabla ya ku respond..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine comments zenu zinashangaza kidogo, eti "mapipa ya KIM?" - sijui background yako ni ya fani ipi lakini sitegemei mwanasayansi anaweza kutoa such an unfortunate comments/remarks, oh yes always dwelling on misinformation/propaganda za coldwar era!!!
Mkisikia Uncle SAM kafanya majaribio ya rail GUN au silaha zinazo tumia Microwave au Lasers mnamsifia kweli kweli wakati mwingine mnaongeza chumvi - kwenu nyinyi the World is America!!! Yaani mnakuwa na dhana potofu ya kufikiri Mataifa mengine hayana watu/wanasayansi wenye uwezo mkubwa kiakili/ubunifu kwenye nyanja za roketi science pamoja na uhundaji wa formidable silaha za kijeshi za kujilinda, actually Mataifa hayo yana run neck to neck na USA katika fani tajwa hapo juu, sekta nyingine wanawa-surpass USA. .
Labda nikuhoji swali dogo, je, ni Mataifa mangapi Duniani yenye uwezo wa KIM wa kuhunda carrier rocket zenye uwezo wa kuruka mpaka kufikia altitude ya 3,500Km above Earth - hiyo ilijaribiwa juzi juzi na Wanasayansi wa Korea Kasikazini, hilo la kwanza; je, una habari kwamba wana sayansi wa Kim miaka ya nyuma walifanikiwa kusimika a Geo Stationally Satellite kwenye Orbit slot ambayo footprint yake ina-cover Korea zote,part ya Urusi, Uchina na Japan ina run in Sync na mzunguko wa Dunia, ukiwa na darubini kali ukiangalia kwenye outer space unaweza kufikiri Satellite imesimama, je, unajua kwamba ili ufanikishe kazi hiyo satellite inapaswa kurushwa umbali wa 36,000Km above Earth repeat 3.6 times ten power four Km juu ya usawa wa Dunia hawa mnao waona ni mbumbumbu kiufundi walifanikiwa vipi? Haya tuje kwenye uwezo wao wa kuhunda thermonuclear bombs vile vile na uwezo wao katika nyanja za ICT - nani anaweza kubeza beza Taifa lenye uwezo mkubwa kisayansi/tekinolojia.
Wakati mwingine comments zenu zinashangaza kidogo, eti "mapipa ya KIM?" - sijui background yako ni ya fani ipi lakini sitegemei mwanasayansi anaweza kutoa such an unfortunate comments/remarks, oh yes always dwelling on misinformation/propaganda za coldwar era!!!
Mkisikia Uncle SAM kafanya majaribio ya rail GUN au silaha zinazo tumia Microwave au Lasers mnamsifia kweli kweli wakati mwingine mnaongeza chumvi - kwenu nyinyi the World is America!!! Yaani mnakuwa na dhana potofu ya kufikiri Mataifa mengine hayana watu/wanasayansi wenye uwezo mkubwa kiakili/ubunifu kwenye nyanja za roketi science pamoja na uhundaji wa formidable silaha za kijeshi za kujilinda, actually Mataifa hayo yana run neck to neck na USA katika fani tajwa hapo juu, sekta nyingine wanawa-surpass USA. .
Labda nikuhoji swali dogo, je, ni Mataifa mangapi Duniani yenye uwezo wa KIM wa kuhunda carrier rocket zenye uwezo wa kuruka mpaka kufikia altitude ya 3,500Km above Earth - hiyo ilijaribiwa juzi juzi na Wanasayansi wa Korea Kasikazini, hilo la kwanza; je, una habari kwamba wana sayansi wa Kim miaka ya nyuma walifanikiwa kusimika a Geo Stationally Satellite kwenye Orbit slot ambayo footprint yake ina-cover Korea zote,part ya Urusi, Uchina na Japan ina run in Sync na mzunguko wa Dunia, ukiwa na darubini kali ukiangalia kwenye outer space unaweza kufikiri Satellite imesimama, je, unajua kwamba ili ufanikishe kazi hiyo satellite inapaswa kurushwa umbali wa 36,000Km above Earth repeat 3.6 times ten power four Km juu ya usawa wa Dunia hawa mnao waona ni mbumbumbu kiufundi walifanikiwa vipi? Haya tuje kwenye uwezo wao wa kuhunda thermonuclear bombs vile vile na uwezo wao katika nyanja za ICT - nani anaweza kubeza beza Taifa lenye uwezo mkubwa kisayansi/tekinolojia.
Kula gwala mkuu...
Tatizo la pro USA wanadhani USA ndio kila kitu...Ila ukweli ni kwamba rocket science ilianzia Asia.
Na rocket za kwanza zilirushwa na mchina miaka mingi sana ilio pita.
NK wako vizuri kwenye digital battlefield pia maana ndio hawa walio hack Sony nakuvujisha emails za Bi. Clinton na ni hawa hawa codes zao zilikutwa kwenye ile "WannaCry cyber attack".
Jamaa wapo vizuri sana na wanauwezo wa kufikiria sana, mind you Asia ndio ina population kubwa ya watu wenye IQ kubwa hivyo bila shaka NK wapo pia.
Kwa nchi ambayo ipo isolated kama NK ni astonishing kwa mafanikio ambayo wameendelea kuyapata.
Tukiachana na zile western media bullshit North Korea wapo vizuri, na pale US atakapo leta vurugu ana Mengi ya kupoteza.
North Korea ndio hawa wanao isaidia kudevelope ICBMs na Nuclear missiles Iran...
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia kwa haya uliyo highlight, watu waache mahaba niue waangalie facts.
Kuipiga NK haitakua simple kama kutembelea wanyama Serengeti, Kuna hatari ya mtu kuaibika.
Ni kweli mkuu hamjasema hili, ila majority wanaamini itakua rahisi kama kisu juu ya jibini.Mkuu sidhani kuna mahala tumesema kuipiga NK itakuwa rahisi. Tumeongelea zaidi tofauti ya vifaa walivyonanvyo wao na nchi nyingine, na vile vile changamoto zilizopo ktk kuwakabiri.
Kumbe NK walikuwa nyuma ya Hillary's email probe?!!...News to me!
Arafu kunakitu watu awakijui duniani wanadhani japani ni rafiki wa marekani!! Kama kuna nchi ingestaili kuwa rafiki wa USA ni China sasa jiulizeni kwann China siyo rafiki wa USA wakati histori inaonyesha USA alimpiga mjapani aliyeitesa China sana tena kwann China hipo nyuma ya Kim kwakifupi marekani ni taifa lisilo takiwa Asia yote kwaiyo marekani itajiingiza kwenye death trapAt least walio nyuma yake wanafikiri vizuri zaidi kuliko yeye mkuu. Hopefully hayatafika huko.
Ni kweli mkuu hamjasema hili, ila majority wanaamini itakua rahisi kama kisu juu ya jibini.
Na kuhusu vifaa vya NK dunia haina taarifa navyo kutokana na taifa hili kua na siri mno.
vinavyojulikana ni vile vilivyo kua displayed kwenye millitary parade zao na labda haya majaribio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh!, ngoja kwanza..