Recent content by The Eagle2012

  1. The Eagle2012

    Diamond Akifundishwa Kuogelea

    Mkuu Haiwezekani Kila Mtu awe na Sura Nzuri Mkuu,Sisi ambao tuna Sura ambazo si mbaya wala Si Nzuri unatuweka kwenye Kundi gani? Kwa Maoni yangu Mm Uzuri wa Mwanaume Unapaswa Kupimwa kwa Kiwango Chake cha Hekima,Akili,Uchapaji Kazi na Upendo hasa kwa Familia yake!!
  2. The Eagle2012

    Wanasiasa na Lugha ya Vita: Hekima ya kupunguza sababu ya kuingia vitani na Malawi

    Mwanakijiji amejenga Hoja,Wewe Unashambulia tu!!! Kiongozi Lazima awe na Hekima ya nn cha Kusema na Wakati gani!!! EL aliteleza,simple!!
  3. The Eagle2012

    Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

    Chimbuvu, JF ni Noumer, Bonge La Shule!! Aksante Mkuu!!
  4. The Eagle2012

    Cv ya saed kubenea..

    Kama Kubenea ni Tapeli basi tunahitaji Matapeli wengine kama yeye 50 tu Nchi hii itasonga Mbele!!
  5. The Eagle2012

    Cv ya saed kubenea..

    Umeshasema Yote!!! Hawa Wana Cv kuuuuuubwa halafu utendaji zero,Akina Professa Maghembe!! Mtu atapimwa kwa Kazi zake sio Karatasi zake!!
  6. The Eagle2012

    Cv ya saed kubenea..

    Kwa hiyo kwa Maelezo yako tunaweza kupima Ukilaza au kutokuwa kilaza kwa Mtu kupitia Cv? Saed Kubenea ni Mtu Mwenye Uwezo Mzuri sana Kichwani,Kazi zake zinamshuhudia!!
  7. The Eagle2012

    Uraia wetu na dhana ya mweusi ndio Mtanzania.

    Pole kwa Kunyanyapaliwa Mkuu,Kila sehemu lazima kutakuwa na Mgonjwa wa Akili,Tuvumiliane tu!!!
  8. The Eagle2012

    Urais 2015 tusimlaumu Zitto: Nani anaujua Msimamo wa Dr. Slaa?

    Embu tudokeze kidogo mazungumzo yako na Rais Slaa!!!!
  9. The Eagle2012

    Leo ndoa ya Dk. Slaa

    Mkuu,as a matter of fact he is just not a disappointment to Jf but more so he is a DISGRACE!!
  10. The Eagle2012

    Idadi ya abiria kwenye meli iliyozama, nani anasema kweli?

    Naunga Mkono Hoja yako 100%
  11. The Eagle2012

    VIDEO: Gwajima akiiumbua serikali ishu ya Ulimboka

    Duuuuuuh,Yule Mchungaji ameenda Shule,amewachanachana kuhusu huyo Mkenya Mwehu,nimeangalia Mlimani Tv nimebaki Mdomo wazi!!
  12. The Eagle2012

    Tundu Lissu afunguka bungeni

    Una hoja Mkuu ila Lugha yako inatia Kinyaa!! Kuna Hekima katika Uvumilivu na kuelekezana kwa Staha!!
  13. The Eagle2012

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Kwa hiyo wewe katika Hekima yako unadhani huyo Kova akikabidhiwa huo Mkanda hata kama ni wa Ukweli halafu Kova ambaye tunajua Msimamo wake tayari akishafanya hiyo Analysis atasema kwamba Kweli hiyo Kanda haijakuwa doctored? Kwamba Kova ni Mtu Muadilifu? That we can trust him,Tayari Mwajiri wa...
  14. The Eagle2012

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Neiwa Mkuu nakuelewa sana,ingekuwa Nchi za watu "weupe" Kingenuka!! Ile Revolution ya Misri ilianza na Kijana Mmoja tu aliyefanyiwa Unyama, Cheche ikazaa Moto!! Kwa sisi mambo hayo hayawezekani kwa sababu wengi wetu hatuna vigezo vinavyohitajike ambavyo ni AKILI na UJASIRI!!
  15. The Eagle2012

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    Mafal* hawataisha Nchi hii!!
Back
Top Bottom