Diamond Akifundishwa Kuogelea

Kwahyo Jamaa Kipande kime-shake? Hahaaaaa!
Hilo jibu mkali!bongo tu imekuwa haina mwenyewe siku hizi hadi hata ukiwa na kipande famba bado unakimbiza!!!!naona mpoki anawatia sana moyo wenye sura za babu zao eti mwanaume hasifiwi sura!!!watu vipande vinauza na ukuta tunaongea nao katika masuala ya muamala kama kawa!....tukishikia bango gym si ndio itakuwa balaa dunia nzima!
 
Wivu huo!!!

Mwanaume asifiwi sura!!!
Mpoki kawapa matumaini kidogo msijichukie na sura zenu ila kasahau kama kuna watu sura mauzo na matatizo hatuna!!!ukiwa na sura mbaya unahitaji kuwa na milioni moja ili ilingane na laki moja anayomiliki mtu mwenye sura nzuri ili utoke nae suluhu kuishi kwa furaha!
Mpoki sura mbaya,dental formula mbaya,mwili mbaya kama kiroba,weusi mbaya wa matatizo ndo maana kajitolea kuwa msemaji wa kutia moyo wenzake na slogan ya mwanaume hasifiwi sura!!!
 
kwi kwi kwi...... leo sikuwa na mood ya kucheka but imebidi nicheke!!
 
Mpoki kawapa matumaini kidogo msijichukie na sura zenu ila kasahau kama kuna watu sura mauzo na matatizo hatuna!!!ukiwa na sura mbaya unahitaji kuwa na milioni moja ili ilingane na laki moja anayomiliki mtu mwenye sura nzuri ili utoke nae suluhu kuishi kwa furaha!
Mpoki sura mbaya,dental formula mbaya,mwili mbaya kama kiroba,weusi mbaya wa matatizo ndo maana kajitolea kuwa msemaji wa kutia moyo wenzake na slogan ya mwanaume hasifiwi sura!!!

Mkuu Haiwezekani Kila Mtu awe na Sura Nzuri Mkuu,Sisi ambao tuna Sura ambazo si mbaya wala Si Nzuri unatuweka kwenye Kundi gani?

Kwa Maoni yangu Mm Uzuri wa Mwanaume Unapaswa Kupimwa kwa Kiwango Chake cha Hekima,Akili,Uchapaji Kazi na Upendo hasa kwa Familia yake!!
 
that body! uwiiiiiiii yummy! mmhhh acha aitwe sukari ya warembo, lol!
 
Mie niliezaliwa Ocean road mbona sijui kuogelea....
Unajua mtu alie zaliwa dar anaweza kua na vitu vingi vya kufanya
during his spare time. Na sio watu wengi wanapenda kuogelea hapo.
Kigoma activities nyingi ni around ziwa. Soko, maboti, na mengine
People spend so much time by the lake, na watu wengi wanaogelea
Sio lazima kila mtu Kigoma ajue, ila wengi wanajifunza tanganyika
 
Kuzaliwa dar sio tatizo, tatizo ni kwamba umezaliwa dar pande zipi na kampani zako wakati upo dogo zilikuwa dizaini gani! Suala la kuwa bize si sana kwa maana wakti mzuri wa kujifunza kuogelea ni wakati m2 upo mdogo....most cases wakati upo pprimary school! Kipindi hicho, akili za kitoto zinakusaidia usifahamu hatari ya bahari...lakini ukishakua m2 mzima; bahari inatisha; asikuambie m2! Nakumbuka enzi ze2; fimbo ambazo tulikuwa hatupitwi nazo kila siku ni za kwenda kucheza baharini...usipoonekana tu home; fahamu bi mkubwa anakusubiri kwa hamu, ile kufika 2 anaanza kukulamba ngozi!!
 
kijana ndani ya wet n wild,mtu kama yeye anaenda kujiachia siku za kawaida ambapo akuna vurugu za watu wengi,kama siku za w-end.
 
Ushamba ndo kama huo, kutoweza kutofautisha mavazi gani uyavae wapi
t to

...according to who my dia. surely, if you have money you should not people dress you but rather you shud be the one who chooses what to wear and anybody who doeznt lyke it shud go and hang himself, huh???
 
Back
Top Bottom