Recent content by The Dreamer

  1. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Profesa Mwandosya na Dr. Mwakyembe hawapikiki

    Hakuna hata jina moja ulilotaja laweza kupitishwa. Nasikia Naodha au mwanamama wa UN anaweza kuwa mgombea wa chama cha magamba
  2. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Profesa Mwandosya na Dr. Mwakyembe hawapikiki

    Tehe tehe tehe!!! Wapikwe wamekuwa ndizi bana? Najua unajua so you just made me laugh!
  3. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme wafikia saa 18 kwa siku

    Haaaaa! CCM kata umeme kwa ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi!!! Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!!!
  4. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania East African Countries' Budgets

    Acha longolongo, hata ungeadjust ya Kenya kwenda double spacing na font 18 bado haitakuwa zaidi ya pg 50. Sema jingine!
  5. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania East African Countries' Budgets

    Mimi nimefurahi kwamba budget ya Kenya pia imezingatia maoni ya wakenya kupitia Facebook, tweeter na si ajabu JF pia. Kuandika kwa ufupi ni ishara ya IQ!
  6. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

    Hongera Mshinda..Mbele kwa mbele
  7. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

    Best wishes to the bride and bridegroom
  8. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Hivi chama cha Chaga Development Manifesto(CHADEMA) cha miaka 1980-1990 bado kipo?

    Hata kama kilikuwepo (siyo kweli na ni crap!) unafuu kina malengo ya kimaendeleo tofauti na Chukua chako Mapema mafisadi
  9. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Magufuli bila madaraka yukoje?

    Sioni shida Maguli anatufaa kwa tabia yake ya kufuata sheria. Sheria haina kufikilia. Katika sheria unaifuata ilivyoandikwa. You dont care about consequences! Magufuli anaweza akawa msemaji mzuri bila madaraka lakini kama ukimya wake unampa nafasi ya kuwa waziri na hatimaye kutimiza malengo ya...
  10. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Confused or divided Government?

    Tehehehe!
  11. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Mzumbe yasafisha PhD feki; Kamala na Nchimbi wajifua upya

    Prof. Maji Marefu n.k.
  12. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Tehe tehe tehe...nipo neutral pamoja na kicheko hiki
  13. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Aliyeongoza Kidato cha Nne ni Yatima. "Watanzania Tumpe Pongeza Dada Yetu"

    :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: keep it up
  14. The Dreamer

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Nimeliona bango Kufa kwa heshima ni bora kuliko kuishi kwa aibu
Back
Top Bottom