Hivi chama cha Chaga Development Manifesto(CHADEMA) cha miaka 1980-1990 bado kipo?

Status
Not open for further replies.

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Leo nimeelezwa na mzee mmoja mkongwe kwamba kabla ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kulikuwepo chama cha mlengo wa kusaidia wachaga kama vilivyo vingine vya kikabila,kijamii na kilitwa Chaga Develompent Manifesto(CHADEMA) na kilikuwa chini ya Edwin Mtei.

Malengo yake kwamba ilikuwa ni kutaka kuendeleza kabila hiyo kwa njia moja ama nyingine.
Inaelezwa kuwa baada ya mfumo wa vyama vingi Chadema hiyo ilibadilishwa malengo na madhumuni yako kutoka cha kusaidiana na kuwa Chama cha siasa kisha kuitwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) badala ya Chaga Development Manifesto (CHADEMA).

Lakini inaelezwa na mkongwe huyo kwamba Uasisi wa CHADEMA ya kusaidiana na CHADEMA ya kisiasa uko chini ya Mtei hadi leo.

Swali:
1. Wanaokukumbuka; Je, bado Chaga Deveopment Manifesto (CHADEMA) ipo hadi leo au ndiyo iliyobadilishwa na kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

Narudi
 
haya ndio yale majibu mepesi kwa maswali ya msingi? mtu ameuliza afu anaambiwa ni crap? and u call yourself a great thinker? you are a fool,big fool!

thanks, but let me ask you, what are the similarities and differences between a political party and a manifesto?

Go google: Andika hicho kitu kinachoitwa Chaga Development Manifesto, ukipata nipe link.

Go Google: Andika Edwin Mtei, niambie kama hutapata majibu juu ya unachokitafuta.

tuanzie hapo, then utajua kuwa mtoa mada na wewe unayeunga mkono wote ma-crapist.

CCM sasa hivi ni washawasha. Kila saa mnawashwa tu.

mnawashwa na nini?
 
kuna ukweli mnaokimbia hapo,yani nyie ikija ishu yoyote ya inayoichukiza cdm basi itakuwa ni crap! kwani hata hiyo habari ya sumaye kuongea na waandishi kwenye internet haiko,au ishu ya uvccm haijaandikwa na magazeti yote ya leo,so why do we discuss them? toeni majibu chadema ya kipindi hicho ndio hii ya sasa? othrwise u remain fool always
 
vyama vyote vinaongelewa hapa including cdm.

lakini haya ni majungu.
 
hata ukiandika CCM..ukiangalia kwenye dictionary ama ukienda kuke UK utakta CCM ikiwa na maana nyingine pia ..jifunze kwa bidii uelewe mengi ufute na adui ujinga..
 
Ndio kwanza nasikia toka kwako kuwa kulikuwa na chama hicho. Tupe habari zaidi mkuu!
 
Hata kama kilikuwepo (siyo kweli na ni crap!) unafuu kina malengo ya kimaendeleo tofauti na Chukua chako Mapema mafisadi
 
na kama huwezi kutofautisha basi jibu hili swali hapa .. Does TANU differ frm the current CCM? ...jibu ama YES ama NO
 
Tuwekee hapa evidence za kuwepo hicho chama tangu 1980-1990. Weka ofisi yake/zake z/ilipokuwa, weka majina ya viongozi wake na ikiwezekana weka hata namba yake ya usajili ili tujiridhishe kama kweli kilikuwepo. Vinginevyo mimi nachukulia hii kama udaku tu.
 
Ina maana huyo Babu yako hakukuambia kama hicho chama kipo au hakipo? ILA UNA LAKO JAMBO.
 
Leo nimeelezwa na mzee mmoja mkongwe kwamba kabla ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kulikuwepo chama cha mlengo wa kusaidia wachaga kama vilivyo vingine vya kikabila,kijamii na kilitwa Chaga Develompent Manifesto(CHADEMA) na kilikuwa chini ya Edwin Mtei.

Malengo yake kwamba ilikuwa ni kutaka kuendeleza kabila hiyo kwa njia moja ama nyingine.
Inaelezwa kuwa baada ya mfumo wa vyama vingi Chadema hiyo ilibadilishwa malengo na madhumuni yako kutoka cha kusaidiana na kuwa Chama cha siasa kisha kuitwa Chama cha Demikrasia na Maendeleo(CHADEMA) Badala ya Chaga Deveopment Manifesto (CHADEMA).

Lakini inaelezwa na mkongwe huyo kwamba Uhasisi wa CHADEMA ya kusaidiana na CHADEMA ya kisiasa uko chini ya Mtei hadi leo.

Masawali 1:Wanaokukumbuka Je bado Chaga Deveopment Manifesto (CHADEMA) ipo hadi leo au ndiyo iliyobadilishwa na kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

Narudi.

Kasome huko
http://www.tacri.org/fileadmin/Documents/COFFEE_BOOK/Edwin_Mtei.pdf
 
Inawezekana Chaga Development Manifesto ilikuepo au ni uzushi wako tu, naamini hilo la pili lakini hata kama kilikuepo napenda kuwasifa waliokianzisha na wachaga kwa ujumla wao kwani ukitaja mabila yaliyo na maendeleo wachaga wanaongoza nadhan ni kwa ajili ya hicho chama chao na kama ndo hivyo basi tuwaungeni mkono ili waliletee taifa lote maendeleo na mimi napenda kutoa wito kwa vyama vingine vya kikabila au kikanda waelekeze nguvu zao ktk kuliletea taifa maendeleo kama Chaga Development Manifesto na baadae CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO..
Tujifunze toka kwao...

PEOPLE'S POWER
 
Je kuna ubaya katika hilo? Kabla ya CCM bara ilikuwa na TANU na kabla ya hiyo kulikuwa na TAA na kabla yake kulikuwa na African Association kama chama cha michezo cha Waafrika katika Tanganyika...na hakikuwa chama cha siasa...akili zetu zinatakiwa kwenda mbele sio kurudi nyuma...hivi Mtei angeanzisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo hiyo 1980 unafikiri angepatwa na yepi? Au akina Sykes na hiyo AA 1920s wangeiita TANU unajua wangefikwa na nini?....kila jamabo na wakati wake
 
watu wengine ni kama wamerogwa linapokuja suala la maendeleo. hata CCM ndio ilianza kama TAA,TANU baadae CCM. lakini chama chetu CDM haikikuanza hivyo jamani!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom