Recent content by Teta

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

    Naomba muendelee kucomment nafurahishwa sana na comments...yaani!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya Leo, alie elewa kinachomliza huyu mtoto licha ya Baba yake kumpa uji na maziwa

    Baba anashangazwa,jinsi gani mtoto haridhiki,hafurahishwi hana shukurani na jitihada za baba yake kuhakikisha anapata anavyohitaji. NB. Tujifunze kuwa na moyo wa shukrani kwa vyote tunavyofanyiwa na wazazi,wakubwa,ndugu wakuu wetu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    nimepona malaria kali niliyokuwa nayo nilijua korona...maskini mimi
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi harusi atembea na Wanaume wawili kwa mpigo

    Namshauri atulie aitunze ndoa yake,mume wake akija gundua hatamsamehe, ni dhahir kuwa wanaume hawasamehi wake zao wakiwasaliti ata akisema yameisha ajue yupo mtegoni...(heshima katika ndoa muhimu) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi harusi atembea na Wanaume wawili kwa mpigo

    umenichekesha Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kijana atumia hela ya kodi kuchora Tatoo ya Wema. Sasa hivi familia yake inalala nje

    Nimesoma comment zooote nikacheka sana Mungu atuepushe Corona Amina. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jiandalie mazingira ya kujiajiri ukiwa chuo ama ukiwa unaendelea na masomo yako

    Asante, miamiatz Nitajifunza machache Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Serikali na wote wanaohusika (Bodi ya Mikopo)inapaswa iwaangalie wanafunzi wote ambao hawajapewa mikopo baada ya kuingia nao kwenye mkataba. Maisha chuo bila hela ni magumu mno. Kwa viongozi wa wanafunzi UDSM (DARUSO) mnastahili mtengue maneno yenu ya kuiamrisha serikali, Muige mfano wa SUA...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya Kikristo ya mtoto wa kike yanayoanza na herufi B

    Mwite BIGIJII. Nalipenda sana jina hili
  10. T

    JamiiForums Tanzania Marangu coach Arusha-dar, poor customer service

    Marangu coach wa hovyo hao.... Walinitoa Dar nafikia Leganga eti wakaniambia hawashushi hadi Arusha au ningeshuka USa kisa haikuandikwa hivyo kwenye chart yao.....Nikaapa kutopanda basi lao milele ....bora nibadilishe njia nipite dom kama ndilo basi pekee lilobaki .......nkt!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naweza soma Course ipi nzuri Degree? Nimesoma Diploma in Microfinance Management.

    Sijakaa mtaani hata mwaka mmoja, nimependa kuendelea kabla ya kusettle
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na mwanamke mmoja ni ulemavu na unaweza kusababisha kifo.

    [emoji6]
Back
Top Bottom