Wakuu nawasalimu nyote, nimesoma microfinance management cheti na diploma nataka nijiunge degree na course nyingine inayoendana na hiyo ili nisiwe nje Sana, au niendelee na hiyo hiyo. Je ajira Zake vipi? Au kwenye kujiajiri inakuwaje?
Natanguliza shukrani.