Mwanaume kua na mwanamke mmoja ni ulemavu na unaweza kusababisha kifo.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Mwanaume aliekamilika, rijali(sexually active) kua na mwanamke mmoja na mmoja pekee ni ulemavu na unaweza kusababisha magonjwa makubwa kama saratani ya tezi na mwisho kupelekea kifo.

Saratani ya tezi za kiume ni ugonjwa unaoua wanaume wengi sana Duniani na ni ugonjwa wa kujitakia kwa sababu ya kua na mwanamke mmoja tu. Tezi za kiume zinatakiwa kua bize muda wote zikipiga kazi, zikikosa kazi tu zinatengeneza mazingira ya saratani.

Mwanaume unakuaje na mwanamke mmoja kwa mfano, kisayansi na kiuhalisia mwanamke mmoja hatoshi, kidini wote waliokua karibu na Mungu na marafiki wa Mungu walikua na wake zaidi ya mmoja. Ibrahim baba wa imani alikua anatafuna housegirl na pia alikua na kimada mwingine. Mfalme Daud ambae Mungu anasema ukimgusa ni sawa umegusa mboni ya jicho lake alikua na vimada kibao, Suleiman ndio usiseme, mtume yeye alikua anakula hata watoto wa miaka 9(i am sorry). Wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume, sasa kama huwezi kusoma nyakati hata za kawaida tu kua hao wanaaake wanazaliwa wengi iliiweje, kufa tu kwa saratani ya tezi.

Mwanaume hakikisha unakua na wamawake 2 au zaidi kwenye stoku yako.

Huu ni ushauri wa bure, take it or leave it.
 
Mwanaume aliekamilika, rijali(sexually active) kua na mwanamke mmoja na mmoja pekee ni ulemavu na unaweza kusababisha magonjwa makubea kama saratani ya tezi na mwisho kupelekea kifo.

Saratani ya tezi za kiume ni ugonjwa unaoua wanaume wengi sana Duniani na ni ugonjwa wa kujitakia kwa sababu ya kua na mwanamke mmoja tu. Tezi za kiume zinatakiwa kua bize muda wote zikipiga kazi, zikikosa kazi tu zinatengeneza mazingira ya saratani.

Mwanaume unakuaje na mwanamke mmoja kwa mfano, kisayansi na kiuhalisia mwanamke mmoja hatoshi, kidini wote waliokua karibu na Mungu na marafiki wa Mungu walikua na wake zaidi ya mmoja. Ibrahim baba wa imani alikua anatafuna housegirl na pia alikua na kimada mwingine. Mfalme Daud ambae Mungu anasema ukimgusa ni sawa umegusa mboni ya jicho lake alikua na vimada kibao, Suleiman ndio usiseme, mtume yeye alikua anakula hata watoto wa miaka 9(i am sorry). Wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume, sasa kama huwezi kusoma nyakati hata za kawaida tu kua hao aanaaake wanazaliwa wengi iliiweje, kufa tu kwa saratani ya tezi.

20190907_093238.jpeg
 
Unasikitisha sana...

Kama ni hivyo basi, hata mwanamke kua na mwanaume mmoja ni uzembe na anakosa experience ya kukata viuno vizuri...

Fanya yake, wengine mambo yao waachie wenyewe...

Cc: mahondaw
 
Wanakuja.

Duuuh hivi ni kweliiiii?
Mwanaume aliekamilika, rijali(sexually active) kua na mwanamke mmoja na mmoja pekee ni ulemavu na unaweza kusababisha magonjwa makubea kama saratani ya tezi na mwisho kupelekea kifo.

Saratani ya tezi za kiume ni ugonjwa unaoua wanaume wengi sana Duniani na ni ugonjwa wa kujitakia kwa sababu ya kua na mwanamke mmoja tu. Tezi za kiume zinatakiwa kua bize muda wote zikipiga kazi, zikikosa kazi tu zinatengeneza mazingira ya saratani.

Mwanaume unakuaje na mwanamke mmoja kwa mfano, kisayansi na kiuhalisia mwanamke mmoja hatoshi, kidini wote waliokua karibu na Mungu na marafiki wa Mungu walikua na wake zaidi ya mmoja. Ibrahim baba wa imani alikua anatafuna housegirl na pia alikua na kimada mwingine. Mfalme Daud ambae Mungu anasema ukimgusa ni sawa umegusa mboni ya jicho lake alikua na vimada kibao, Suleiman ndio usiseme, mtume yeye alikua anakula hata watoto wa miaka 9(i am sorry). Wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume, sasa kama huwezi kusoma nyakati hata za kawaida tu kua hao aanaaake wanazaliwa wengi iliiweje, kufa tu kwa saratani ya tezi.

Mwanaume hakikisha unakua na wamawake 2 au zaidi kwenye stoku yako.

Huu ni ushauri wa bure, take it or leave it.
 
This kind of thinking is the reason why AIDS is the 3rd most killer disease in Sub saharan Africa.
 
Upuuz tuu..mkigongewa mnatia huruma sana nyie wakat huohuo mnahamasishana muwe vitombi iki mgongeane vzur..bure sana wewe sijui una miaka 16
 
Back
Top Bottom