Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Dada we acha tu siku moja kabla ya ndoa yangu na ambaye ndio Mme wangu sasa, nilienda kufanya mapenzi na mwanaume mwingine ambaye nilikuwaga na mahusiano naye toka zamani.
Ilikuwa Ijumaa na alijua kabisa naenda kuolewa, akaniita na Jumamosi yake ndio ilikuwa harusi yangu
Siku ya harusi yetu, yule mwanaume alikuja amependeza sana na alileta zawadi na nilimtambulisha Kama miongoni mwa kaka zangu na washauri.
Hata baada ya harusi niliendelea kutoka naye kwa siri mpaka tulipohama kikazi na Mume wangu wa ndoa kwenda mkoa mwingine mbali na hadi Leo nikionana naye nahisi tu nitalala naye.
Jamani unamshaurije huyu bibi harusi?