Naweza soma Course ipi nzuri Degree? Nimesoma Diploma in Microfinance Management.

Teta

Member
Mar 8, 2019
48
35
Wakuu nawasalimu nyote!

Nimesoma microfinance management cheti na diploma, naomba kwa wanaofahamu course inayoendana na hiyo ili nisiwe nje sana, au je nikiendelea na hiyo Microfinance Management Degree ajira zipo? Au kujiajiri ni rahisi?

Natanguliza shukrani.
 
Unatafuta degree ya kazi gani?? Hiyo Diploma imekupa nini?
atakua ameshachoka kupeleka CV maofinini kuomba hata nafasi ya kujitolea,siku hata kujitolea ni dili,kaona bora arudi zake shule pengine akimaliza labda mabo yanaezakua nafuu,,mpeni tu kaushauri
 
Wakuu nawasalimu nyote! Nimesoma microfinance management cheti na diploma, naomba Kwa wanaofahamu course inayoendana na hiyo ili nisiwe nje Sana, au je nikiendelea na hiyo Microfinance management degree ajira zipo? Au kujiajiri ni rahisi?
Natanguliza shukrani.
Kasome accountancy.
 
Sijakaa mtaani hata mwaka mmoja, nimependa kuendelea kabla ya kusettle
 
Back
Top Bottom