Recent content by tersha

  1. T

    Kumtolea mali pungufu mwanamke wakati wa kumuoa

    kuna kausemi huwa nakasikia "mahari huwa haimalizwi" cjaoa bado ila nahisi ni sawa tu anachotaka kukifanya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Ili kuchukua ubingwa Simba anatakiwa ashinde goli 13-0.

    Hata goli saba pia ila na Mbao wawafunge Yanga goli sita
  3. T

    Mmiliki wa Africa swahili Tv na Africa swahili Fm ni mmoja?

    Nadhan wamiliki ni Davis Mosha na William Malecela (le_mutuz)
  4. T

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Angekuwa muwazi tangu siku janga limetokea ili kila mtu ajue anajibeba vipi na kipindi anaomba misaada angesema ni kwa ajili ya taasisi za serikali
  5. T

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Tatizo hapa sio ukweli anaousema leo ila ni uongo alioutumia mwanzo wa kuomba misaada kwa ajili ya waathirika afu akaitumia kukarabati miundombinu ya serikali, afu ikumbukwe alitoa katazo la watu kuwasaidia wahanga direct ila misaada yote ipitie serikalini
  6. T

    Tozo ya VAT katika kununua salio kutoka kwenye simu

    Ila salio lako si limebak kuwa 10000 au lilipungua??
  7. T

    Sakata la kupigwa kwa mwanafunzi na umuhimu wa mifumo

    Nijuavyo mimi kati ya hao wote uliowaorodhesha hapo juu hakuna hata mmoja mwenye ofisi shuleni! So hauwezi jua labda hzo taarifa wazir alitangulia kuzipata kabla ya wao maana wengi wetu tumeziona mtandaoni
  8. T

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

    Kwa bango hili ambalo halina muhuri wala sahihi ya aliyelitoa??
  9. T

    Medical Students Mwaka wa 3 (MD3) wa ST.Francis wote wameachishwa chuo

    [23:42, 5/19/2016] Muthaa: Ndo ivyo mazee! Kuna watu wanajikuta wana mandate sana, hata kuhojiwa hawataki, wakifanya makosa kurekebisha hawataki.... Ni mkusanyiko wa matukio mengi yalochukua takribani wiki mbili huku md3 na utawala wa chuo tukiwa kwny mzozo ambao chuo kimeshindwa...
  10. T

    Masimulizi: Beyond Pain

    Naiomba hyo website
  11. T

    Tuliochaguliwa IMTU tujuane tafadhali

    Nursing na medical laboratory ada 4500000 md ada 6250000 bodi wanakupa 3100000 kwa kozi zote
  12. T

    Tuliochaguliwa IMTU tujuane tafadhali

    Sina uhakika kama wameshaitoa ila huwa wanagawa chuon ingawa ni kwa kuchelewa na si mara zote!! Naenda mwaka wa tatu nw ila wameshatugawia mara moja tu na ilikuwa olmost the end of sem 1
  13. T

    Tuliochaguliwa IMTU tujuane tafadhali

    Niulize kuhusu IMTU nikusaidie
  14. T

    Star TV wanatumia sauti ya Tundu Lissu katika tangazo la kumchafua Lowassa

    Tundu Lisu katingwa Jimboni kwake hawezi kutoka hali no mbaya, hata hivyo hamkubali Lowasa pia lile ni Tangazo halali Tundu anakiri kwamba Lowasa ni Fisadi walimtaja ktk List of shame na yeye ndiye aliyeitayarisha ubaya uko wapi? Tundu ni wa kupongezwa sana. Labda jimbo jingine sio hii Singida...
  15. T

    Maajabu ya Serikali yetu Maamuzi IMTU hospital

    Kilichofungwa pale IMTU ni hospital na sio chuo!!. Na kwa mujibu wa naibu wazir wa afya ufungaji wa hospital hauhusiani na tukio la utupaji wa mabaki ya miili ya watu ila mapungufu yaliyopi hapo hospitalin ndio sababu
Back
Top Bottom