Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yakanusha Taarifa kuwa Haina Fedha za kulipa wanafunzi

Hii serikali kila siku ni kukanusha tu halafu mambo yanaendelea kuwa yaleyale.sijui huwa wanaangalia upepo unaendaje.

Sifa kuu ya upinzani hapa Tanzania ni viongozi wao kulala selo au mahabusu kila baada ya wiki mbili,,so sishangai wakipinga kila kitu,,
 
Ufipa wote akili zao zimeshikwa na DJ Ziro
Mkuu hili la vyuoni hulijui wewe, ktk uchelewaji huu wa wiki tatu, kuna sehemu wamekili kutopokea pesa kutoka hazina!, and by the way wale wa NIDA walio simamishwa kazi wamesha maliza kuwahakiki na kuwalipa?, vinginevyo "uhakiki" ni kichaka cha selekali kujifichia.
 
HESLB YAKANUSHA KUWA HAINA FEDHA

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

TAARIFA KWA UMMA
KUKANUSHA TAARIFA KWAMBA BODI HAINA FEDHA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa za upotoshaji zinazoenezwa kwa sasa kwamba haina fedha.

Si kweli kwamba Bodihaina fedha, ila ni kweli kwamba kumekuwa na ucheleweshaji wa kufikisha fedha za wanafunzi vyuoni kutokana na zoezi la kuhakiki wanafunzi wanaonufaika na mikopo linaloendelea vyuoni hivi sasa.

Hata hivyo, maandalizi ya malipo hayo yameshafanyika na ‘pay sheets’ zimeshapelekwa vyuoni tayari kwa wanafunzi wanaonufaika na mikopo kusaini.

Bodi inatarajia wakati wowote wiki ijayo baada ya zoezi la uhakiki kukamilika; itapeleka fedha hizo vyuoni.

IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAREHE 2 JULAI 2016

Mytake: Hakika UKAWA wanazidi kuumbuka. Kila wakitoa uzushi, majibu yanatolewa mapema na hivyo kujikuta wakizama shimoni. Na bado

Source: Michuzi Blog
Kwa bango hili ambalo halina muhuri wala sahihi ya aliyelitoa??
1467500130660.jpg
 
Wiki imeisha, tumeumbuka? Chama chakavu ni kile kile.
Na magamba ni yale yale..... Wamesambaza pay sheet hewa.. Sheet hazina muhuri wala sahihi..... Walisema wanafanya uhakiki lakn sheet zimeandaliwa tar 30 May wakat uhakiki walifanya tar 15 June... Uhakiki wa nn wakat sheet mmeshaandaa??? Figisu figisu mpango mzma
 
HESLB YAKANUSHA KUWA HAINA FEDHA

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

TAARIFA KWA UMMA
KUKANUSHA TAARIFA KWAMBA BODI HAINA FEDHA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa za upotoshaji zinazoenezwa kwa sasa kwamba haina fedha.

Si kweli kwamba Bodihaina fedha, ila ni kweli kwamba kumekuwa na ucheleweshaji wa kufikisha fedha za wanafunzi vyuoni kutokana na zoezi la kuhakiki wanafunzi wanaonufaika na mikopo linaloendelea vyuoni hivi sasa.

Hata hivyo, maandalizi ya malipo hayo yameshafanyika na ‘pay sheets’ zimeshapelekwa vyuoni tayari kwa wanafunzi wanaonufaika na mikopo kusaini.

Bodi inatarajia wakati wowote wiki ijayo baada ya zoezi la uhakiki kukamilika; itapeleka fedha hizo vyuoni.

IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAREHE 2 JULAI 2016

Mytake: Hakika UKAWA wanazidi kuumbuka. Kila wakitoa uzushi, majibu yanatolewa mapema na hivyo kujikuta wakizama shimoni. Na bado

Source: Michuzi Blog
Lizaboni unatumika vibaya! Nnamashaka na IQ yako, huenda ikawa less than 70! Watu tunasain boom lkn tunaambiwa pesa zitaingizwa pale zitakapokuwa zimekuja! Mnakaa hata zaidi ya wiki kusubiri wakati zamani pesa tulikuwa tukipata ndani ya siku tatu baada ya kusaini! Halafu bado unahitaji unabii ili uamini loan board haina hela!
 
Attachments

  • IMG-20160708-WA0003.jpg
    IMG-20160708-WA0003.jpg
    39.3 KB · Views: 32
Lizaboni unatumika vibaya! Nnamashaka na IQ yako, huenda ikawa less than 70! Watu tunasain boom lkn tunaambiwa pesa zitaingizwa pale zitakapokuwa zimekuja! Mnakaa hata zaidi ya wiki kusubiri wakati zamani pesa tulikuwa tukipata ndani ya siku tatu baada ya kusaini! Halafu bado unahitaji unabii ili uamini loan board haina hela!
cd8dea56d494d38b198b3580e4657388.jpg

Tunasign lakini hela hakuna.....
 
hawa wana funzi hadi sasa hivi inasemekana hawajapewa hela zao za kujikimu ni takribani wiki tangu wasainishwe na zaidi ya wiki tatu tangu robo ya nne ianze. wenzao wa kcmc inasemekana walisaini tangu tarehe 7 mwezi jana, nao bado hawajapokea hela zao!, tatizo ni hazina kumekauka??? kwani hata bodi ya mikopo imekili mara kadhaa kuwa haijapokea hele kutoka hazina!!!. tujiulize makusanyo ya mwezi ya kuvuka viwango ni halisia?
 
Back
Top Bottom