Recent content by Teacher on duty

  1. Teacher on duty

    TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    Pumzika kwa Amani Ibra....ni mapema sana ila kazi ya Mungu haina makosa Sent from my HUAWEI G510-0100 using JamiiForums mobile app
  2. Teacher on duty

    BAJETI: Yaliyojiri, Uwasilishaji wa mapendekezo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi 2017/18

    Kigari changu nilikuwa natembelea usiku tu kisa road licence, kuanzia 1st July na mimi nitapak nje ya ofisi, mafuta yapo tu hata ya njia za panya.......!
  3. Teacher on duty

    If you remember them say something.....

    Mkuu Akan watu tumetoka mbali......
  4. Teacher on duty

    If you remember them say something.....

    Wale walioishi magomeni enzi hizo lazima mkumbuke kwa hayati sheikh Yahya Hussein maana ndipo tulipokuwa tunatazama movie kama hizi........kitambo sana
  5. Teacher on duty

    Nauza nyumba maeneo ya kona ya mbauda jijini Arusha

    Umbali kutoka barabarani ni mita ngapi? Ni maeneo ya oljoro road dispensary? ni vizuri ukitoa maelezo kamili na ya kueleweka, ukitupia na picha utakuwa umemaliza.
  6. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    Jamaa kanikamata haswa!
  7. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    mkuu Sumbai umeniuliza swali ambalo cjawahi kufikiria, mengine angalau naweza kujibu maana kwenye hii fani nilishakuwepo kama tempo baada ya kuhitimu kidato cha 6, ila sikuwa mwalimu wa darasa, ukija kwenye scheme of work, logbook, duty book, lesson plan pande hizo naweza!
  8. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] Duuh sasa hili jina litanifunga!
  9. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    Nipo ndugu yangu Damu Changa....habari ya majukumu mkuu? mchakamchaka tu wa maisha unaniweka mbali!
  10. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    Nipo ndugu yangu Sumbai....tatizo ni hii elimu bure na zamu ya kila siku wanayonipangia wakuu nabanwa na kushindwa kushirikiana na nyie ndugu zangu ila nipo
  11. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    Habari zenu ndugu zangu makapuku? Naamini mpo poa na Mungu ametupa fursa ya kuishuhudia cku ya leo.
  12. Teacher on duty

    Mvua Kilimanjaro: Kaya zaidi ya 2,200 hazina mahali pa kuishi

    Majimbo ya uchaguzi ni matatu mkuu pamoja na Vunjo
  13. Teacher on duty

    Makapuku Forum

    Ahsante mkuu Jimena...na kwako pia
Back
Top Bottom