Mgito
Senior Member
- Aug 1, 2016
- 163
- 69
Nyumba iko maeneo ya kona ya mbauda jijini Arusha, stend ya mirongo, ziko mbili, moja self, na nyingine ya vyumba vitatu kwenye uwanja mmoja, mita 50 kutoka barabara ya Oljoro, maji na umeme vinapatikana, hakuna dalali, muuzaji ni mimi mwenyewe, bei 50M,maongezi yapo, simu 0754817826, 0785 557323.