Ilinitesa sana kisaikolojia.Umenikumbusha mbali, yule mwenye kiduku alivyopigwa bastola akafa eti nilikua naumia nadhania nia kweli kafa
Nilifikiri ni mimi tu peke yangu, kumbe tuko wengi. Movie hii ilinifanya niwachukie sana makaburu enzi hizo. Niliwaona ni watu makatili sana.Ilinitesa sana kisaikolojia.
Sana aisee.. Mimi nilikuwa nakwenda na aunt yangu kwa mama mmoja ambaye alikuwa anakwenda kumsuka, so nadandia kwenda ili nikaangalie video, basi nikaona hiyo ya sarafina, basi anti akawa ananiambia nikisoma kwa bidii shuleni nami nitakuwa kama sarafina. Teh tehHii ni moja ya movie zilizoangaliwa na Watanzania wengi sana enzi hizo mwanzoni mwa miaka ya 90. Watoto wa sasa hivi hawaijui movie hii. Wakati huo "Tv set" zilikuwa dili mno na zilikuwa zinaitwa "video". Ukiwa na "video" ya "Hitachi" wakati huo ni lazima na mlango wako uwe na "grill" ama sivyo lazima wazee wa kazi waje usiku kuichukua. Jirani yetu kila alipokuwa akienda kulala, ilikuwa ni lazima aingize "video" yake chumbani kwake licha ya kwamba nyumba yake yote ilikuwa na milango ya "grill". Watanzania tumetoka mbali jamani.
yep!actully...,it was so sad.
😀😀😀😀 ni kwel mkuuHii ni moja ya movie zilizoangaliwa na Watanzania wengi sana enzi hizo mwanzoni mwa miaka ya 90. Watoto wa sasa hivi hawaijui movie hii. Wakati huo "Tv set" zilikuwa dili mno na zilikuwa zinaitwa "video". Ukiwa na "video" ya "Hitachi" wakati huo ni lazima na mlango wako uwe na "grill" ama sivyo lazima wazee wa kazi waje usiku kuichukua. Jirani yetu kila alipokuwa akienda kulala, ilikuwa ni lazima aingize "video" yake chumbani kwake licha ya kwamba nyumba yake yote ilikuwa na milango ya "grill". Watanzania tumetoka mbali jamani.
Pa1Naipenda sana hiyo mpambano ule ingekua uku tz ukawa ingekua ndani ya mjengo mapema.
Mkuu Akan watu tumetoka mbali......😱😱😱ha ha ha