Recent content by TATE

  1. TATE

    JamiiForums Tanzania Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

    Well, and the say goes........adui wa adui wako ni rafiki yako.
  2. TATE

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Shahada zetu za Chuo Kikuu

    na mimi nakubaliana na wewe kuhusu hilo, nimepata ajira kwa mtindo huo.
  3. TATE

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinazopelekea wanaume kuvunja ndoa zao?

    labda yeye anaona kuacha ni kazi ya wanaume, wanawake hawawezi kuacha.
  4. TATE

    JamiiForums Tanzania TK shines brighter than as usual

    jamani hivi ndio Cynthia Masasi alivyokuwa kabla ya mkorogo? ni yeye kweli au? just asking
  5. TATE

    JamiiForums Tanzania Natafuta housegirl

    30000? miye ninao lakini mshahara wanataka anzia 60,000.
  6. TATE

    JamiiForums Tanzania Why wanawake hawapendi serious things?

    mbona mi nipo kinyume cha hayo mambo highlighted in red, au miye si mwanamke? Mbona ume generalize mno.
  7. TATE

    JamiiForums Tanzania quality unazo admire kwa wengine............

    miye mwenzenu na admire wanaoishi maisha to its fullest...really experiencing all the joy that life has to offer...revelling in it and tasting it daily. free spirited people, watu wanaoona mambo mazuri ktk maisha yaani wako positive tu hata kama kuna mashaka kwa wengine.
  8. TATE

    JamiiForums Tanzania Najiachiaaaaaa

    uko fine, siku ukichoka maisha hayo utabadilika mwenyewe bila kujijua, lakini note kuwa hatua ya kujiuliza maswali na kutaka mawazo ya wengine ni ishara kuwa mabadiliko yameanza.
  9. TATE

    JamiiForums Tanzania Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Jocelyn Edwards Special to the Star...
  10. TATE

    JamiiForums Tanzania Umetia fora,Unaboa kweli

    halafu kaka mwenyewe yuko kwenye mambo ya marketing hasa sijui inakuwaje. table manners muhimu nitahakikisha kibinti changu nakitrain mapema.
  11. TATE

    JamiiForums Tanzania Ladiees....whats your preference

    inategemea kama mwili unalipa, msifikiri akina dada awaangaliagi maumbo.
  12. TATE

    JamiiForums Tanzania Ladiees....whats your preference

    ka we ndo denzel mwenyewe basi loh nimefika!
  13. TATE

    JamiiForums Tanzania Umetia fora,Unaboa kweli

    yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.
  14. TATE

    JamiiForums Tanzania Ladiees....whats your preference

    Napenda wangu awe mweusi si sana kichocolate fulani, asiwe mrefu sana, awe amebinuka kidoogo yaani asiwe amepigwa pasi sana kijungu kwa mbaali yaani cha kimazoezi, six packs lazima not one pack, miguu yake iwe na vigimbi vya kiushkaji akivaa pensi hadi raha, hapo ni physically. Huyo ndio my...
  15. TATE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujivua gamba tafadhari

    truth will set you free, kwa sasa huo ndo mwongozo naweza kukupa
Back
Top Bottom