Sababu zipi zinazopelekea wanaume kuvunja ndoa zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu zipi zinazopelekea wanaume kuvunja ndoa zao?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwanakili90, Jun 8, 2011.

1. Mwanakili90

Mwanakili90 JF-Expert Member

#1
Jun 8, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 1,571
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
jamani wanajamvi embu tujaribu kuchambua iyo mada hapo juu kwa mapana na marefu.

Nawasilisha.

2. Sumba-Wanga

Sumba-Wanga JF-Expert Member

#2
Jun 8, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 5,387
Likes Received: 15
Trophy Points: 135
Inawezekana;
1) Kukosa uaminifu kwa wanandoa
2) mke kuwa mzigo (too much dependency)
3) Kuingilia ndoa kwa wanafamilia (ndugu wa mume)
4) Mwanamke mchawi/mwizi/muasherati
5) Kichaa cha mwanaume anapopata nyumba ndogo)
6) Reality.... realization that you have married a wrong person
7).. e.t.c

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Jun 8, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Sasa hii ina tofauti gani na ile nyingine uliyoanzisha isemayo “kwanini wanawake wanaachika“ ...si majibu umepata kule ama?!

4. Mwanakili90

Mwanakili90 JF-Expert Member

#4
Jun 8, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 1,571
Likes Received: 18
Trophy Points: 135

Mama people walikua wanalalamika,nikaona co vbaya to show the other side of the coin.

5. KWI KWI

KWI KWI JF-Expert Member

#5
Jun 8, 2011
Joined: Mar 31, 2011
Messages: 286
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Ushamba mtupu katika mahusiano.....pia wanakuwa wageni wa wanawake.......sababu nyama ni ile ile butchery tofauti.
NB:Nawanake pia vivyo ivyo.......kama ushamba na ulimbukeni wakiweka mbele kila mwanaume watamshadadia.

6. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#6
Jun 8, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Which other side wakati unachoongelea ni kile kile?!Kwanini wanawake wanaachwa...kwanini wanaume wanavunja ndoa....SIONI TOFAUTI HAPO!

7. TATE

TATE Member

#7
Jun 8, 2011
Joined: Aug 11, 2010
Messages: 89
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
labda yeye anaona kuacha ni kazi ya wanaume, wanawake hawawezi kuacha.

8. Mwanakili90

Mwanakili90 JF-Expert Member

#8
Jun 8, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 1,571
Likes Received: 18
Trophy Points: 135

Pull factor=pushing factor?

9. Mwanakili90

Mwanakili90 JF-Expert Member

#9
Jun 8, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 1,571
Likes Received: 18
Trophy Points: 135

Tete uji o wat?

10. s

sirgeorge Member

#10
Jun 8, 2011
Joined: Aug 18, 2010
Messages: 89
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hapo kwenye namba mbili hapo, nimekumbuka habari niliyoipata leo asubuhi kutoka kwa rafiki yangu.
Ni hivi leo asubuhi rafiki yangu(best friend/family friend) anayeishi kw muda nje ya nchi amenipigia simu akilalamika kuhusu tabia ya Gf wake. Anasema amekuwa akimtumia pesa nyingi tu kwa ajili ya matumizi na vitu kama hivyo, akanipa mfano mwezi machi mwaka huu alimtumia sh.laki saba(700,000) kwa ajili ya kulipia kodi ya nyumba ya huyo GF wake, ikafika mwisho wa april binti akamwambia jamaa anashida sana na sh.laki nne,jamaa bila kuchelewa akamtumia haraka. Sasa wiki iliyopita ijumaa, binti kamwomba jamaa sh.laki tano. Jamaa akamjibu tu kistaarabu kuwa kwa sasa hana hiyo hela kwa sababu ni muda si mrefu ametuma hela kwa ajili ya kumplipia ada ya chuo ya mdogo wake, hivyo kwa kipindi hiki hana hiyo hela. Anasema baada ya kumjibu hivyo binti,mawasiliano yamekuwa dry. Namaanisha toka siku ya ijumaa mawasiliano yao sio mazuri kama zamani,jamaa akipiga binti anamjibu kama hataki,akituma msg hajibu kabisa jamaa akiuliza mbona hunijibu dada anasema hajapata msg yoyote.
Jamaa anasema kwa sasa anamuangalia tu aone mwisho wake, kwa hatua waliyokuwepo ni zaidi ya uchumba kwani ndoa wanategemea kuwa mwisho wa mwaka huu au mwanzoni mwa next year. Concern ya jamaa ni kuwa kama huyo dada ameanza tabia hii akiwa hata bado ndoa je akimuoa na siku akamwambia sina hela si atakimbiwa?
Nimemshauri aongee naye kwa kirefu na amwambie kuhusu hiyo tabia, amekubali hilo ila amesema akimjibu vibaya chochote kinaweza tokea.

11. d

designer spenko Member

#11
Jun 8, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 76
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
sababu kuwa ni uaminifu m2 asipokuwa na uaminifu hata akipata wanawake 10 hatoweza kukaa nao pia uaminifu ukipungua unapunguza kiwango cha mapenzi hvy kupelekea ndoa kuvunjika

12. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#12
Jun 8, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Mwanamke asipojua mambo kitandani lazima nimwache, vp kwan unadhan ni nin zaid ya mapenz?!

13. mchakavumlasana

mchakavumlasana JF-Expert Member

#13
Jun 9, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 335
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

hapo jamaa yako kageuzwa atm! Pili inategemea uhusiano aliuanzaje, kama alifikiri mwanamke anapigwa na noti na si kitenge ndo imekula kwake,in short ana kazi nzito ya kumrudisha binti kwenye mstari

14. mchakavumlasana

mchakavumlasana JF-Expert Member

#14
Jun 9, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 335
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
sababu ni zilezile zinazopelekea mwanamke kuvunja ndoa

15. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#15
Jun 9, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
Kila mtu ana sababu zake, huwezi jua ya ndani ya nyumba

16. i

iMind JF-Expert Member

#16
Jun 9, 2011
Joined: Mar 27, 2011
Messages: 1,907
Likes Received: 425
Trophy Points: 180
Ni sababu gani inakufanya ubadilishe simu yako na kuigawa kwa ndugu yako au mdogo wako? Au kubadilisha gari? Kimsingi binadamu tumekua wa

17. i

iMind JF-Expert Member

#17
Jun 9, 2011
Joined: Mar 27, 2011
Messages: 1,907
Likes Received: 425
Trophy Points: 180
Ni sababu gani inakufanya ubadilishe simu yako na kuigawa kwa ndugu yako au mdogo wako? Au kubadilisha gari? Kimsingi binadamu tumekua wanafiki linapokuja swala la mapenzi. Inawezekana wakati unaingia kwenye ndoa huyo mwenza wako ndo alikuwa chaguo, lakini down the line miaka 3 au 4 baadae unakutana na mtu mwingine ambaye ndo unahisi unampenda zaidi. Kama unajali hisia zako unajua nini kitafuata na kama ni mnafuki utajitesa na kujaribu ku wakeep wote.

18. s

sirgeorge Member

#18
Jun 9, 2011
Joined: Aug 18, 2010
Messages: 89
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ni kweli unalolisema, na cha kushangaza huyo GF anafanya kazi ya maana tu. Huo ni utegemezi wa hali ya juu na hana huruma. Jamaa alinichekesha alisema akimwendekeza huyo GF atarudi hata hana na kitu cha kuanzia maisha.

19. S

Storm Member

#19
Jun 9, 2011
Joined: Jun 9, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Da z best ni kumwacha bz atakufirisi .

Loading...