Umetia fora,Unaboa kweli

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?

Nope,ume haribu lunch yangu!
 
Madongo mpaka JF???!Enhe kwani mbwa analulaje vile....??
 
hahaha,i feel ya!khaaa,table manners muhimu bana!jana nimeingia kwenye mgahawa nikalazimika ku-share meza na ustaadhi mmoja.kwanza ana ndevu kibao,afu anakula ugali na nyama na beans kwa uma na kisu.lol,anatafuna kama mashine ya kukoroga keki!mdomo umetapakaa misosi kama sufuria iliyosongea ugali,ndevu nazo zimeshikilia ziada ya msosi!he spoiled my lunch japo nilijitahidi sana kutomuona ila hizi compound eyes,mweh!
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?</p>
<p>una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na </p>
<p>mbwa sana?</p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Nope,ume haribu lunch yangu!
 
Madongo mpaka JF???!Enhe kwani mbwa analulaje vile....??
sio madongo,ni kupata somo ili mfundishe watoto wenu jinsi
ya kula vizuri sio unakula huku una muonesha mwenzako unavo tafuna chakula na
huku ukiongea
 
hahaha,i feel ya!khaaa,table manners muhimu bana!jana nimeingia kwenye mgahawa nikalazimika ku-share meza na ustaadhi mmoja.kwanza ana ndevu kibao,afu anakula ugali na nyama na beans kwa uma na kisu.lol,anatafuna kama mashine ya kukoroga keki!mdomo umetapakaa misosi kama sufuria iliyosongea ugali,ndevu nazo zimeshikilia ziada ya msosi!he spoiled my lunch japo nilijitahidi sana kutomuona ila hizi compound eyes,mweh!

haha,pole sana!
yaani kumjali nimemaliza chakula chote otherwise ninge
ahirisha kula,so boring,..
nimeshiba ila sijapata raha ya kula
 
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?

Nope,ume haribu lunch yangu!
yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.
 
Dah,ume nichekesha kweli aisee!
Ni challenge kwa mtoto wako lakini baadae,asije aibika buree!
We assume mtu kama huyu aende sehemu ya heshima hivi,wageni kibao,...
unadhani anae aibika ni yeye?
wazazi!
 
Inakuaje binadam unakula kwa style kama hii?
una tafuna chakula kama mbwa au ndo tuseme umeishi na
mbwa sana?

Nope,ume haribu lunch yangu!

Tatizo wengine wamezoea kutafuniwa na kulishwa mpaka waende shele za bweni. Waache wazeeke zao.
 
Dah,ume nichekesha kweli aisee!
Ni challenge kwa mtoto wako lakini baadae,asije aibika buree!
We assume mtu kama huyu aende sehemu ya heshima hivi,wageni kibao,...
unadhani anae aibika ni yeye?
wazazi!
halafu kaka mwenyewe yuko kwenye mambo ya marketing hasa sijui inakuwaje.
table manners muhimu nitahakikisha kibinti changu nakitrain mapema.
 
Tatizo wengine wamezoea kutafuniwa na kulishwa mpaka waende shele za bweni. Waache wazeeke zao.
duh,sidhani kama huyu jamaa kwao ni matawi kiasi hiko,.
ni kuto fundisha watoto wetu tu,..
me nakumbuka utotoni nilikua hata nikikwangua sahani kwa kijiko
na ikasikika nafinywa kweli,au kuepusha kutafuna namna hii tuliambiwa ukiwa unakula usiongee na utafune
ukiwa umefunga mdomo,..

Sasa watu kama hawa sijui walikuaga wanashindana kutafuna duh
 
Back
Top Bottom