Sijajua na naingia kwenye dilema , nilijiunga tarehe 12 sept lakini ilipofika tarehe 26 ikaanza kupungua nikawauliza, wakanijibu kuwa kuna tatizola mtandao , lkini hata leohii naambiwa labda b u ndle limek at a s a s a sijui inakuwa na usahihi ni ipi
Labda nijue hili Uliondika kwa sabau ya bwana ni Fuska na unataka kurudi akiwa bado Fuska mbona kama hujabadili kitu? Hebu waache wenzio iwapo uko na nia ya kuboresha maisha JIFUNZE siyo kurudi kule
Hapa pamejaa LONGOLONGO MTUPU Na mazingira ya RUSHWA TUPU hebu fikiria nimeomba umeme kwa JIKONECT toka 2021 na kupewa namba kuwa Ombi lako limekamilika, wasilisha Na.211222-0335, kwa mkandarasi aliyesajiliwa aweke taarifa za wayaring na kuwasilisha TANESCO Zoezi likafanyika Surveyor akaja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.