Nimevunja kioo cha kishikwambi

amoc thedon

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
293
464
Tusichoshane. Mimi ni mwalimu katika shule X hapa nchini.

Jana katika pilika pilika zangu za hapa na pale si nikajikuta nimevunja kioo cha kishikwambi changu nilichopewa na serikali ya chama cha mapinduzi.

Naombeni ushauri wapi naweza pata spare maana me nipo Tanga, ama kama kuna utaratubu wa kufuata mtu ukiharibu naomba mnijuze.
 
Kishikwambi ni samsang ila ckumbuki aina gani, ni samasang ambayo kioo chake kipo kama kilamelala kushoto na kulia hiyo ndio kishikwambi ,na gharama za kioo kwa ile cm ni kuanzia 150000 mpka 300000 kutokana na duka utakalopata kioo na ubora wa kioo chenyewe hii inapelekea cm aina ya samasang ikivunjika kiooo iwekwe ndani ukanunue nyingine
 
Back
Top Bottom