Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Nimelipia 22/10/2021 mpaka leo sijafungiwa huduma yaani miezi 8 tanesco bado wanatafuta waya na nguzo moja...mbona huduma zenu zinakuwa za kubabaisha nyie watu? mnatengeneza mazingira gani Kama sio usumbufu kwa wananchi....naitwa Michael makene Lusato niko mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya buzuruga mtaa wa nyambiti karibu na msikiti..0757415111 tokea 22/10/2021 mpaka leo mnanizungusha Kama mpira
 
TANESCO muwe wakweli ule utapeli wa kusema Vijijini wafungiwe kwa 27,000/ imekua ni ndoto, na tunamkumbuka Hayati Magufuli msingefanya haya mambo yenu.
Vijiji vyote vya Barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Manyoni nyumba za tembe mnadai 329,000/ eti vipo Mjini, kuanzia Nala, Chigongwe, Mpamatwa Bahi nk
Nyumba ya tope mtu kajitahidi ni bati tu nyumba inafika 150,000 leo mnataka 330,000
 
TANESCO muwe wakweli ule utapeli wa kusema Vijijini wafungiwe kwa 27,000/ imekua ni ndoto, na tunamkumbuka Hayati Magufuli msingefanya haya mambo yenu.
Vijiji vyote vya Barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Manyoni nyumba za tembe mnadai 329,000/ eti vipo Mjini, kuanzia Nala, Chigongwe, Mpamatwa Bahi nk
Nyumba ya tope mtu kajitahidi ni bati tu nyumba inafika 150,000 leo mnataka 330,000
Hilo shirika ni kuwapeleka mahakamani ti.
 
Mtoa mada naomba unisaidie. Kuna jirani yangu kaunganishiwa umeme. Lakini huo waya unaoenda kwa jirani yangu, nikisimama kwenye varanda maeneo ya jikoni, nakuwa na uwezo wa kuushika waya huo maana mimi niko kwenye mwinuko na huyo jirani yangu yuko bondeni. Hivi karibuni nilimkuta msichana wa kazi kaanika nguo juu ya waya huo wa umeme unaoelekea kwa jirani yangu. Je, hii ni sahihi? Maana naona kama inatishia usalama wangu.
๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Hivi tanesco/serikali mgeruhusu baadhi ya vifaa vikauzwa na watu binafsi hivi kweli kungekuwepo na kisingizio kuwa hatuna vifaa, mfano nguzo, mita na nyaya nyingine ruhusuni makampuni binafsi yauze ili kuepuka huu usumbufu kwa wananchi.Kwa upande mwingine naona hamna umeme wa kutosheleza watz kwa wakati mmoja kwa maana hiyo hizi shida zinazotokea wala sio kwa bahati mbaya bali ni mkakati wa serikali kujipanga ili ipate umeme wa kutosha kwahiyo mbinu inayotumika ni danadana tu.
 
Huku kwetu mwanza umeme hatunganishwi kwa zaidi ya wiki tatu umeme na tumelipia shida itakuwa nini
Screenshot_20230913-104926_Messages.jpg
 
๐˜ผ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™ฉ๐™š๐™ฃ๐™ž, ๐™ข๐™–๐™š๐™ก๐™š๐™ญ๐™ค ๐™ฎ๐™–๐™ข๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™—๐™– ๐™ ๐™–๐™—๐™ž๐™จ๐™–,
๐™€๐™ญ๐™˜๐™š๐™ก๐™ก๐™š๐™ฃ๐™ฉ.

๐™๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™™๐™š ๐™ฌ๐™– ๐™ฅ๐™ž๐™ก๐™ž,
๐™๐™ฉ๐™š๐™ ๐™š๐™ก๐™š๐™ฏ๐™–๐™Ÿ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ช๐™ข๐™š๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™ข๐™œ๐™ช๐™ข๐™ช ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ช, ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™ช๐™ช?
 
Hapa pamejaa LONGOLONGO MTUPU Na mazingira ya RUSHWA TUPU hebu fikiria nimeomba umeme kwa JIKONECT toka 2021 na kupewa namba kuwa Ombi lako limekamilika, wasilisha Na.211222-0335, kwa mkandarasi aliyesajiliwa aweke taarifa za wayaring na kuwasilisha TANESCO Zoezi likafanyika Surveyor akaja na LONGOLONGO KIBAAO mpaka leo sijapewa umeme . Visingizio ni miundo mbinu haijafika karibu na nyumba yangu , mara ooh vifaa mara kunamkakati unaandaliwa wa watu wa REA tunatakiwa kuchangia baadhi ya gharama . Mradi konakona kibao za kutengeneza mazingira ya RUSHWA !!! Kuna meter si zaidi ya 30 kutoka nyumba yenye umeme hadi kwangu na kuna Open space isiyozuia kupitisha wire za kupeleka umeme kwangu na kuna hardly 10 meters kupata umeme kutoka kwenye Fider pol . Na hakika DM wa wilaya ya Kongwa hanataarifa kuwa kuna manyanyazo makuubwa kwenye field work na kama kweli anajua basi there is SOMETHING
 
Back
Top Bottom