Recent content by tapinda

  1. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daah nimetoka ku prove hii kitu, aisee sijui tunaelekea wapi maana huko ni balaa tupu, kila unaemgusa anakwambia hela yako tu! Inasikitisha sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tehehhh..mabao 17! Umenkumbusha mwana mmoja alikujaga kijiweni na fix eti ametoka kumgonga demu bao 7 bila kishuka. Mshikaji mmoja akamwambia hivi..aidha ni we mi muongo au hujawahi kutom*a! Ilibidi mwana aondoke kijiweni kimya kimya, kuanzia hapo akajipatia jina la Mzee wa 7 bila kushuka...
  3. T

    UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Maneno Meier, Mkuu issue sio eti wameshindwa. Je wamepewa hiyo nafasi? Huwezi kuamka asubuhi ukapeleka design calculation wizara ya ujenzi, bila invitation, utaonekana chizi! Nadhan hapa issue ni vipaumbele vyetu, hatujali sana maana hii kitu ni ya long time. By the way, nafikiri tatizo sio...
  4. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hivi hii tabia ya kuacha remote kwenye plastic bag bado ipo? Duuh! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tena kipind hiko unaambiwa eti ni "starter pack", kumbe simcard tu hamna lolote!
  6. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duuuh...we sio Baharia, ni Fisi kabisa..hizo genye zako noma sana:-):-)
  7. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sawa mkuu..asi ulitumia fursa duuh..Sasa vp uliendelea kutafna tunda?
  8. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ulibaka under age mkuu! Duuh!
  9. T

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Hivi inakuaje mtu unajidai umesoma chuo kikuu lakini huwezi kutofautisha Lecture na Lecturer. Eti li Lecture mzuri! Shame!
  10. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duuh..huyo dogo atakua alishawala wote sasa anamsukumia broda domo z!![emoji3]
  11. T

    Taja Mchezaji Mbovu Anayecheza Timu Kubwa

    Humiliating166666666⅞666 6
  12. T

    MSAADA LINK YA MECHI YA COPA AMERICA YA CHILE VS PERU

    Sikutegemea Peru kua na mpira mkubwa kiasi hiki. Latin America mpira wao uko juuu kinoma, hii mechi kali kuliko hata ya jana.
  13. T

    HT: BRAZIL 1 - 0 ARGENTINA

    Yeah, ni aibu. Inabidi wampe timu Diego Simeone (kocha wa Atletico), ndio anaweza kuwaokoa maana yy ni kazi tu.
Back
Top Bottom