HT: BRAZIL 1 - 0 ARGENTINA

Honedtly coach wa Argentina ndio wa kulaumiwa. Anawaacha Dybala na Di Maria bench kny mechi muhim kama hii.
Messi analaumiwa bure tu, maana hata achezeje, hana support kabisa. Leo muda mwingi amekua akienda kupokea mipira kutoka kwa mabeki kwenye nusu uwanja ya argentina!
I think it's high time he retires from this team!

Washajaribu kila namna hyo timu yao tu imeshindwa kuconnect ila vipaji kibao
 
Dah! Huyu Jamaa Wa Kubembelezwa Ana Bahati Mbaya Sana! Yaani Licha Ya Kubembelezwa Akarudi Bado Ni Mikosi Ya Vipigo Tu!. Kama Ningekuwa Mm Nicngeendelea Kuaibishwa Kiasi Iko Najiengua Tu Namwachia Mbambe Wangu Dah!

Hahaa anasikilizia lbd kuna siku meza itageuka
 
Washajaribu kila namna hyo timu yao tu imeshindwa kuconnect ila vipaji kibao
Tatizo ni politics nyingi kwenye team selection. Kwa mfano kina kipindi Tevez alikuaga juu lakini haitwi, badala yake alikuaga anaitwa Higuain ambaye efficiency yake ilikua next to bashite (0)!
Sasa hivi kocha anajaribu kuwapa nafasi vijana lakini hii sio gemu ya majaribio!
 
Honedtly coach wa Argentina ndio wa kulaumiwa. Anawaacha Dybala na Di Maria bench kny mechi muhim kama hii.
Messi analaumiwa bure tu, maana hata achezeje, hana support kabisa. Leo muda mwingi amekua akienda kupokea mipira kutoka kwa mabeki kwenye nusu uwanja ya argentina!
I think it's high time he retires from this team!
Kweli Mkuu, Utaanzeje Kuwaacha Dybala Na Di Maria Nje. Watu Wenye Vipaji Namna Ile Wanaoweza Kumfanya Chochote Mpinza Muda Wowote, Na Wamabadili Matokeo?
 
Ni shida mkuu, Messi wanamlaum bure tu. Mpira wa miugiza wa kupiga chenga wachezaji 5 haupo tena.
Si umeona mwenyewe Dybala na Di Maria walivyoingia tu mpira ulivyokua balaa
 
Tatizo ni politics nyingi kwenye team selection. Kwa mfano kina kipindi Tevez alikuaga juu lakini haitwi, badala yake alikuaga anaitwa Higuain ambaye efficiency yake ilikua next to bashite (0)!
Sasa hivi kocha anajaribu kuwapa nafasi vijana lakini hii sio gemu ya majaribio!

Na recently Icardi japo ni wamoto sana ila haitwi kwe timu
 
Kwa hiyo Argentina walifunga Magori yakakataliwa? Au wangechezea nje ya Brazili basi Argentina angeshinda
Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
 
Back
Top Bottom