Mwana JF! aachia Album kupitia Vesta Project. Yaambatana na Kitabu chenye utata ndani yake

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Member wa JamiiForums siku ya leo amefanikiwa kutoa albamu pia kuzindua Vesta Project. Kupitia Vesta Project ametoa albamu yenye nyimbo takribani 10 pamoja na hints kuelekea utoaji wa kitabu hicho "The distance in your eyes"

Akiojiwa na kituo cha radio Onima nchini Albania ametambulisha nyimbo hizo zitazoibeba 'Album Vesta' kuwa ni:-
• Inat
• Kwasa Kwasa
• La Buena y El Marlo
• Losing My Religion
• Seviyorsun
• Neka Traje
• Pile Moje
• Luna Llena
• Self Control
• Te Toque Sin Querer
• Storyline
• Life

Kupitia album hiyo ameanza kwa kuachia Inat, unaweza kuipata kupitia YouTube



Na SoundCloud



"A world of violence extremes. Two hells in one." Ni moja ya kauli tata aliyoitoa baada ya kuulizwa swali na mtangazaji Mimi Mercedez

Swali lilieleza "Why Self Control?" Mtangazaji mwenza Stoja yeye aliuliza "Losing Religion in 21st Century?!"

Hapa sakata la kitabu likaibuka kutokana na kujibu "History is the winners' version of the truth. Half of what we have been fed are lies".
 
Back
Top Bottom