Sifa za Kuku aina ya kuroiler ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuhimili misuko suko ya magonjwa. Majogoo hawa wanafaa kwa kufuga au kwa kuliwa moja kwa moja, na pia nyama yake ni tamu sana.
majogoo hawa wanapatikana Dar es Salaam, Sinza , Mtaa wa juma Ikangaa ( karibu na Kivulini Bus Stop/ mkabala na...
Majogoo wazazi wa asili aina ya kuroiler wanauzwa Sinza Dar es Salaam, wana uzito wa kuanzia kilo mbili 2 na kuendelea. Bei ni nzuri sana Tshs 15,000 kwa kila jogoo na wapo idadi ya kutosha.
Kwa mawasiliano tafadhali piga simu +255 713 948 205.
Karibuni.
Vema kwa kwa kutujuza kuhusu nyaraka hizo kama ulivyoziweka.
Tafadhali nisaidie(draft) namna ya kumuandikia/ kuwaandikia notisi wapangaji ambao nataka kuwatoa katika nyumba yangu, hiyo ikiwa ni pamoja na muda wa kutaka lini watoke. Nataka niifanyie ukarabati nyumba husika ndipo baadae...
Pia waweza angalia ofisi ya Serikali ya mtaa na / au ofisi ya kata. Huenda vikawa vya bure vimebaki, wakati ule wa mchakato wa kutengeneza rasimu mpya ya katiba vilikuwepo viingi tu, mie nilijipatia kimoja cha ziada huko.
An email sensationally claiming to be from Abubakar Shekau, the supposedly deceased leader of the extremist Islamic sect Boko Haram, has been circulated within Nigeria.
The email, which this writer saw on various online forums, contains several startling allegations, centering on the claim...
Central Adm System ya NACTE bado iko active hadi sasa 1st Sept 2014, nadhani wataifunga leo saa 6 usiku. Fanya haraka kumalizia issue yako bado kuna Kamuda ka masaa kadhaa.
Na Matela (trailers) za malori nazo inabidi ziwe na usajili wake tofauti na horse. Hii nayo ina maana kubwa kwenye udhibiti wa mianya ya uhalifu, pia si sawa kuendesha Horse ina namba nyingine na trailer ina namba nyingine za usjili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.