Msaada: Wapi hapa Dar naweza kusoma Oracle Database na kufanya proffessional exams?

Joined
Feb 15, 2013
Posts
14
Reaction score
3
Hello JF!

Naomba msaada wa kuelekezwa mahali ambapo pako certified kutoa oracle database certification kwa hapa Dar es salaam.

Nimefuatilia UCC ila wao wanatoa Database administration (Mysql) only.

Please assist with costs associated.

Thanks!
 
Kama unataka kusoma SQL Expert na OCA nenda KITM Jamaa anafundisha vizuri sana kuliko mahali pengine popote na bei zao ziko reasonable(jamaa mdogo mdogo hiv ila yuko fresh sana).. ila kama umefikia level ya OCP ndena Apatech ndio chuo pekee Tanzania Kinaruhusiwa Kutoa OCP ila bei yao n USD 1000 per kila level hivyo kama unataka kusoma OCP TU ni USD 1000 kama ni zote n kwa pamoja n USD 2200
 
Asante sana mkuu!
 
mbona DIT wanatoa zote hizi kuanzi OCA mkuu tena kwa bei chee......
 
Vyuo vilivyo certified kufundisha Oracle hapa Tanzania ni 5 tu.......1.UCC.......2.Techno Brain.....3.Aptech 4.IMT na kingine kipo Arusha ila jina nimesahau......gharama ni kubwa sana ni kuanzia dola 1500 na kuendelea bila ya ya mitihani.......DIT wanafundisha ila hawapo Certified ila unaweza kusoma pale then ukajisajiri katika centers zilizo certified ili ufanye Mitihani.
 
Unachanganya vituo vinavyo ruhusiwa kufanyia mtihan ya PearsonVUE na training center za Oracle.. check vizuri kwenye web site ya Oracle.. I am OCP certified with oracle.. any question al b hppy to ans you.. OCP nitanzania inafundishwa na Aptech (unique Academy Limited) tu zaid ya hapo huwez pata certificate ya OCP.. kipo post na bei n USD 1000.. ila kwa course za SQL Expert na OCA nashauri mtu asome KITM jamaa yako vizuri sana.. tembelea hii link http://education.oracle.com/pls/web_prod-plq-dad/db_pages.getpage?page_id=317 alafu kwenye country nenda Tanzania..
 
Unachanganya vituo vinavyo ruhusiwa kufanyia mtihan ya PearsonVUE na training center za Oracle.. check vizuri kwenye web site ya Oracle.. I am OCP certified with oracle.. any question al b hppy to ans you.. OCP nitanzania inafundishwa na Aptech (unique Academy Limited) tu zaid ya hapo huwez pata certificate ya OCP.. kipo post na bei n USD 1000.. ila kwa course za SQL Expert na OCA nashauri mtu asome KITM jamaa yako vizuri sana.. tembelea hii link Find An Education Center alafu kwenye country nenda Tanzania..

Mkuu nahisi natumia computer ya mchina. Nimefungua hiyo link siioni Tz.
 
Unaweza kusoma au kufundishwa na mtu yoyote hakuna haja ya kituo kuwa certified, ila katika kufanya mtihani wako utafanya kituo cha Pearson Vue kwa computer. Vituo ni vinne kwa Tanzania

[TABLE="width: 98%"]
[TR]
[TD]JR & Acharya Polytechnic[/TD]
[TD="align: right"]240.5 [/TD]
[TD]Arusha[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]University Computing Center Ltd[/TD]
[TD="align: right"]298.1 [/TD]
[TD]Dar es Salaam[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Institute For Information Technology[/TD]
[TD="align: right"]302.6 [/TD]
[TD]Dar Es Salaam[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Techno Brain Limited[/TD]
[TD="align: right"]302.6 [/TD]
[TD]Dar Es Salaam[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Pearson VUE
 
kwahy mkuu naweza soma DATABASE ADMINISTRATION pale UCC ...ikisha mtihani nkafanye huko kwingine???
huo mtihani wa certication unalipiwa mapesa mangapi?
 
Unachanganya vituo vinavyo ruhusiwa kufanyia mtihan ya PearsonVUE na training center za Oracle.. check vizuri kwenye web site ya Oracle.. I am OCP certified with oracle.. any question al b hppy to ans you.. OCP nitanzania inafundishwa na Aptech (unique Academy Limited) tu zaid ya hapo huwez pata certificate ya OCP.. kipo post na bei n USD 1000.. ila kwa course za SQL Expert na OCA nashauri mtu asome KITM jamaa yako vizuri sana.. tembelea hii link Find An Education Center alafu kwenye country nenda Tanzania..

ok,nami nipepata point hapa
 
kwahy mkuu naweza soma DATABASE ADMINISTRATION pale UCC ...ikisha mtihani nkafanye huko kwingine???
huo mtihani wa certication unalipiwa mapesa mangapi?

Ndio unaweza kusoma kokote hata kujisomea na mtihani ukafanya kwenye moja ya hizo centre. Ila kuna shule zengine zinaweza kuinclude bei ya mtihani kwenye fee yao.

Nenda https://www6.pearsonvue.com/Dispatc...rg.apache.catalina.connector.Request@3b0db806

Tengeneza account ye pearson kisha nenda Schedule exam tafuta mitihani unayotaka kufanya itakuonyesha bei, mingi ni $150
 
OCP huwezi fanya bila ya kuchukua training kwenye chuo wanachokitabumbua Oracle..!! Na mitihan yote ya Oracle n USD150..tu labda kama wamepandisha saiv...
 
HAha ha.. hapana nimatumizi tu ndio shida...!! ukifika pale kwenye SELECT A COUNTRY changua African operation alafu kwenye SELECT A STATE changua AA alafu malizia kwenye select A CITY ndipo changua Tanzania.. utakuwa umeipata..
Pole sana Kwa kushindwa kuona at first.. kwenye training moja nilienda ya e-commerce web site developer, moja ya (point) niliyo ipenda ilikuwa inatutaka kuwatafunia watu kila kitu kwenye site coz pple now dyz a lazy...
 
Aisee kwenye hiyo drop down menu ya City mbona hamna Tanzania? Bali kuna Algeria,Banjul, Botwsana .........hadi Zimbabwe, kwa herufi ya T kuna Tunis tu.
 
Kama unataka kusoma SQL Expert na OCA nenda KITM Jamaa anafundisha vizuri sana kuliko mahali pengine popote na bei zao ziko reasonable(jamaa mdogo mdogo hiv ila yuko fresh sana).. ila kama umefikia level ya OCP ndena Apatech ndio chuo pekee Tanzania Kinaruhusiwa Kutoa OCP ila bei yao n USD 1000 per kila level hivyo kama unataka kusoma OCP TU ni USD 1000 kama ni zote n kwa pamoja n USD 2200

Huyo KITM anapatikana wapi na contacts zake, pia long form ya "KITM" ni ipi, nijuze tafadhali.
 
Unachanganya vituo vinavyo ruhusiwa kufanyia mtihan ya PearsonVUE na training center za Oracle.. check vizuri kwenye web site ya Oracle.. I am OCP certified with oracle.. any question al b hppy to ans you.. OCP nitanzania inafundishwa na Aptech (unique Academy Limited) tu zaid ya hapo huwez pata certificate ya OCP.. kipo post na bei n USD 1000.. ila kwa course za SQL Expert na OCA nashauri mtu asome KITM jamaa yako vizuri sana.. tembelea hii link Find An Education Center alafu kwenye country nenda Tanzania..

Nimetembelea iyo link Tanzania haipo
 
Back
Top Bottom