Magari haya yameachwa kuzalishwa?

Magari haya yameachwa kuzalishwa?

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Hivi kwanini sioni magari haya yaliyotengenezwa kuanzia miaka ya 2003 nakuendelea?mengi ukiyaona niyazamani saaaana kuanzi miaka ya 1992 kushuka chini? Magari haya ni SUZUKI-JIMNY WIDE & TOYOTA STARLET!!!! Naomba ufafanuzi kwa anayejua please!!cc: mshana
 
New versions zimeingia mkuu, ndio maana hata Datsun hakuna za mwaka 2003....magari yanaenda na fashion kama nguo dunia ya leo mkuu....Ndio maana zile jeans za SAVKO au yale mashati ya ujiuji huyaoni sikuizi...everything goes with fashion.
 
Mkuu samahani,naomba kuuliza uko wapi huko kulikojaa magari ya 1992?!! Mbona hata za 2010/11/12/13/14 zipo nyingi tu au za 2005/6/7
 
nipo hapa hapa Dsm mkuu! hebu jaribu kupitia website wanazouza magari!hutakuta hzo brand nilizoziorodhesha hutakuta ya miaka hii yakaribuni•
 
Kumbe unazungumzia hio Suzuki na starlet! OK.
 
nipo hapa hapa Dsm mkuu! hebu jaribu kupitia website wanazouza magari!hutakuta hzo brand nilizoziorodhesha hutakuta ya miaka hii yakaribuni•

...mkuu' kwa Suzuki Jimny JB23W yapo mengi' hadi mwaka 2015, sema bei yake iko juu sana, "FOB ni btn USD 15000$ to 19000$"

*ingia www.tradecarview.com

*kwa ...wide ilikuwa ni toleo la 1998-2000, yapo na zaidi ya mwaka huo lakini siyo mengi, bei ndiyo tatizo, wakati gari lenyewe ni dogo sana' "faida yake ni Low fuel consumption, na vinavumilia misukosuko ya barabara mbovu kama za bongo.

*TOYOTA Starlet kweli ni ya kitambo btn 1992-1998, " yanajulikana kwa jina la roho ya paka, navyo vinavumilia shida, kwa mishemishe ya mjini vinawafaa wajasiriamali.
 
New versions zimeingia mkuu, ndio maana hata Datsun hakuna za mwaka 2003....magari yanaenda na fashion kama nguo dunia ya leo mkuu....Ndio maana zile jeans za SAVKO au yale mashati ya ujiuji huyaoni sikuizi...everything goes with fashion.

Hujaelewa swali, labda nikusaidie, kwanini hakuna Datsun ya 2010? Au inagoma kutengenezeka?
 
New versions zimeingia mkuu, ndio maana hata Datsun hakuna za mwaka 2003....magari yanaenda na fashion kama nguo dunia ya leo mkuu....Ndio maana zile jeans za SAVKO au yale mashati ya ujiuji huyaoni sikuizi...everything goes with fashion.

Datsun zipo Mpya za Mwaka 2014 Model
 
Magari yenye uhakika ambayo hayazalishwi kwa sasa ni toyota verrosa na toyota volts kutokana na kua na soko dogo
 
New versions zimeingia mkuu, ndio maana hata Datsun hakuna za mwaka 2003....magari yanaenda na fashion kama nguo dunia ya leo mkuu....Ndio maana zile jeans za SAVKO au yale mashati ya ujiuji huyaoni sikuizi...everything goes with fashion.

Magari ya miaka hiyo ni chuma cha pua alafu hayana kero za ajabuajabu! natafuta 109 landrover aliyo nayo ani pm!
 
new versions zimeingia mkuu, ndio maana hata datsun hakuna za mwaka 2003....magari yanaenda na fashion kama nguo dunia ya leo mkuu....ndio maana zile jeans za savko au yale mashati ya ujiuji huyaoni sikuizi...everything goes with fashion.

2015 dutsun
datsunGO.jpg
 
Hivi kwanini sioni magari haya yaliyotengenezwa kuanzia miaka ya 2003 nakuendelea?mengi ukiyaona niyazamani saaaana kuanzi miaka ya 1992 kushuka chini? Magari haya ni SUZUKI-JIMNY WIDE & TOYOTA STARLET!!!! Naomba ufafanuzi kwa anayejua please!!cc: mshana

Zote hzo bado zinazalishwa. Jimny bado inaitwa hivyo, japo kuna nyingine inatembelea beji ya mazdaAZ, starlet ilibatizwa IST mpaka leo bado inazalishwa
 
Hata hizi Toyota CARINA hamna mpya hata huko Japan mf kupitia beforward, Autoreck, Autowini, nk yote ni ya 1998 hadi 2001.

Haya magari kwa sasa naona yanapendwa sn na Madreva Taxi sijui kwa nn wadau?
 
Hakuna lengine nimafuta consumtion litre tano unatembea mpaka kilometers 45 na spear zake rahisi via ni madhubut hazina longolongo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom