Magari haya yameachwa kuzalishwa?

Magari haya yameachwa kuzalishwa?

Hivi kwanini sioni magari haya yaliyotengenezwa kuanzia miaka ya 2003 nakuendelea?mengi ukiyaona niyazamani saaaana kuanzi miaka ya 1992 kushuka chini? Magari haya ni SUZUKI-JIMNY WIDE & TOYOTA STARLET!!!! Naomba ufafanuzi kwa anayejua please!!cc: mshana
Starlet zilifanyiwa upgrade na kuwa Vitz. Jimmy Nadhani pia zina update zake
 
Datsun aka Dasani imebdilishwa jinsi, sa ivi inatengenezwa na kampuni ya cocacola katika mfumo wa chupa ya plastiki ilojazwa maji ya kunywa!
 
Jimny Wide = Maruti (India)...
Hakuna compact car nzuri na imara kama Jimny wide...That car! Its my daily prayer...
Toyota Starlet ili evolve na Kuwa Vitz then IST...
 
Mi natafuta isuzu kichwa cha ng'ombe ya mwaka 2000 nikabebee mchanga
 
New versions zimeingia mkuu, ndio maana hata Datsun hakuna za mwaka 2003....magari yanaenda na fashion kama nguo dunia ya leo mkuu....Ndio maana zile jeans za SAVKO au yale mashati ya ujiuji huyaoni sikuizi...everything goes with fashion.

Au chachacha hazipo siku hizi.
 
Zote hzo bado zinazalishwa. Jimny bado inaitwa hivyo, japo kuna nyingine inatembelea beji ya mazdaAZ, starlet ilibatizwa IST mpaka leo bado inazalishwa

Toyota IST sio predecessor ya starlet Bali Tercel,vitz na publica hizo starlet waliacha kuzitengeneza miaka ya 90 mwishoni
 
dcm toleo la kwanza pia siyaoni sk hiz
 
Uzalishaji huo ulisimama kwa sababu zao za kibiashara hata hizi landrover defender/110 walishatangaza kusimama uzalishaji baada ya muda hutaziona mpyampya
 
ipo pia Toyota Corolla Exiv, nadhani iliyrngenezwa mara moja 1995. mwenye nayo ataje bei ile roho ya paka
 
Toyota IST sio predecessor ya starlet Bali Tercel,vitz na publica hizo starlet waliacha kuzitengeneza miaka ya 90 mwishoni

nashukuru kwa kunikumbusha, zinschanganya kidoho, maana vitz bado inauzwa kwa jina hilo mpaka leo.
 
dcm toleo la kwanza pia siyaoni sk hiz

Duh mimi la kwangu ni la Mwaka 1995 sijaelewa kama ni toleo la ngapi ila Engine imefika size 75 now na kitu nimekipeleka Body tena kinatoka mwezi huu tena
 
Twekee kapicha ustadh

Dini ya Maustadh kwangu mimi ni kichefuchefu... Don't call me Ustadh mimi si Mfuasi wa Sheitwan sifugi Majini mimi..

Datsan za 2014




Datsun_620-2014.jpg
Share More Info Datsun 620-2014.jpg

See full size image
16px-4186098.png
Added by Miguelalegria Posted in Datsun 620
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom