Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Attachments

  • ESSENTIAL TORT LAW 3RD EDN.pdf
    1.5 MB · Views: 2,719
  • EXPLORING TORT LAW.pdf
    3.4 MB · Views: 1,055
  • Huaraka, T. _THE LAW OF TORTS - TANZANIA CASES, MATERIALS & .pdf
    19.2 MB · Views: 457
  • Principles of Tort law.pdf
    2.3 MB · Views: 5,744
  • Source Book on Tort Law.pdf
    3.6 MB · Views: 871
Last edited by a moderator:

Attachments

  • TANZANIA LAW REPORTS 2OO6 LAW AFRICA JM.pdf
    24.8 MB · Views: 537
  • TANZANIA LAW REPORTS 2005 LAW AFRICA JM.pdf
    21.2 MB · Views: 488
  • TANZANIA LAW REPORTS 2004 LAW AFRICA JM.pdf
    23.2 MB · Views: 407
  • TANZANIA LAW REPORTS 2003 LAW AFRICA JM.pdf
    23.1 MB · Views: 400
  • TANZANIA LAW REPORTS 2002 LAW AFRICA JM.pdf
    22.4 MB · Views: 413
  • TANZANIA LAW REPORTS 2000 LAW AFRICA JM.pdf
    25.5 MB · Views: 431
Last edited by a moderator:

Attachments

  • Company and tax law.pdf
    2.3 MB · Views: 392
  • Icome Tax Law in Tanzania, a source book.pdf
    787.3 KB · Views: 1,317
  • tax_crimes_handbook.pdf
    806.1 KB · Views: 453
  • tax-law.pdf
    938.5 KB · Views: 437
  • Value_Added_Tax.pdf
    714.9 KB · Views: 406
Last edited by a moderator:
Mkuu talentboy TLR za mwaka 2000 hadi 2006 ni hizi, kazi kwako kupakua

Shukran sana boss,Mungu akubariki kutokana na msaada unaotupa hapa nyumba ya wana fikra pevu esp katika hii noble profession....ila usisite kuzishusha na nyengne kama za 2009 etc kama utakuwa nazo

Shukran!
 
Last edited by a moderator:
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria (kwa wanasheria tu) ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa, lakini masuali ya darasani (academic questioins) yawekwe kwenye jukwaa la sheria generally.

Wanasheria karibuni sana

Ok mkuu ninaomba msaada wa sales of goods acts ya 1979 na hile ya maboresho kama unayo shukrani.
 
mkuu uko vizuri, kama ni kitaka kujifunza sheria mwenyewe kwa kusoma na kufuatilia source zenye tija unanishauri vipi.

maana mimi ninaiangalia sheria kama kitu cha muhimu kujua japo mawakili wanahitajika kutusaidia zaidi.

nishushushie pa kuanzia.
 
Vema kwa kwa kutujuza kuhusu nyaraka hizo kama ulivyoziweka.
Tafadhali nisaidie(draft) namna ya kumuandikia/ kuwaandikia notisi wapangaji ambao nataka kuwatoa katika nyumba yangu, hiyo ikiwa ni pamoja na muda wa kutaka lini watoke. Nataka niifanyie ukarabati nyumba husika ndipo baadae nitafikiria tena juu ya kuweka tena mpangaji. Natanguliza shukrani.
 
Mi nataka kujua link itakoyoweza kunipa unreported cases, please kama munaijua niwekeeni, asanteni
 
naomba ufafanuzi wa kisheria.
Mimi kuna bro wangu kakimbia kusikojulikana na fedha za kampuni moja hivi.alikuwa anakaa home kwa baba.kampuni limeanza kumsumbua mzee kumtishia kumshtaki.je mzee anastahili kusumbuliwa kiasi hicho??
 
Jamani bila shukrani nitakuwa natenda dhambi. Mbarikiwe sana maana nimepakua sasa imebaki kazi kwangu
 
Back
Top Bottom