Dereva wetu kazin nae anavunjishwa kabati. Ni mtu smart by appearance, ana huruma sana...yaani akikuona una mavumbi tuu kwa kiatu anakupa kitambaa ujifute, anapenda sana kukaribiana mkiongea + anasutana umbea na wanawake daily..
BUNDUKI MAARUFU IITWAYO AK 47
Luteni Jenerali Mikhail Timofeyevich Kalashnikov wa Urusi ndiye mgunduzi wa silaha maarufu sana katika uwanja wa mapambano duniani kote iitwayo AK 47. Ni bunduki iliyobuniwa na kutengenezwa na kamanda huyu wa Jeshi Jekundu (Red Army) la Muungano wa Kisovieti wa...
Hii tractor ni adimu sana Tanzania na hata kama utaipata itakuwa over used. Nakushauri kama unataka tractor kwa ajili kulima tafta John Deere na kama kwa shughuli za misitu (forestry) kuvuta magogo na trailer tafta Valta Bm 125 ama Ford 6610, 7610
Kuna makundi manne (4) ya watu wanaotengeneza pesa hapa duniani.
1. WAAJIRIWA.
Hawa ni watu ambao kimsingi wanauza muda wao almost wote wa siku nzima kwa mwajiri wao na yeye anawalipa pesa kwa kuwaambia cha kumfanyia. Kwa kuwa kanuni ya mshahara huwa ni kumlipa mtu 10% ya anachozalisha hasa kwa...
UNALETA USOMI MTAANI? UTAKUFA MASIKINI..!!
Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa malori na mabasi, wenye maduka makubwa...
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tutahitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yaani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu 300 au na zaidi kama unataka.
Nunua...
Sawa umeeleweka.
Hii haina shaka kuwa Znz zamani ilikuwa inajiweza kitaaluma sana, hili sina shaka nalo maana ushahidi wa wazi upo kwa kuangalia watu maarufu wasomi ambao wametambulika na kusikika ikiwa kuna wengi wao ambao hawajasikika. Katika kutafta riziki nimebahati kufika na kukaa maeneo...
Habari zenu wanajamii, kwa vipindi tofauti soko la saruji Tanzania limekuwa na bei tofauti za Saruji ila tatizo sijui ubora wake, mathalani wamekuwa wakitumia 32.r kuwa na bei ndogo ukilinganisha na 42.r
Naombeni ufafanuzi kwa wenye uelewa wa mambo haya... kifuatacho ni kipande kidogo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.