Nahitaji Tractor Swaraj 844

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,104
5,102
Nina sahuku ya kumiliki tractor tajwa hapo juu.Naomba mwenye details na bei anisaidie.
 
Hii tractor ni adimu sana Tanzania na hata kama utaipata itakuwa over used. Nakushauri kama unataka tractor kwa ajili kulima tafta John Deere na kama kwa shughuli za misitu (forestry) kuvuta magogo na trailer tafta Valta Bm 125 ama Ford 6610, 7610
 
Nashukuru mno.Nimempata agent wa agrocom wasambazaji wa Swaraj.Tractor Swaraj 744 ambayo ni ndogo ya ninayoihitaji ni 31m bila jembe.
Binafsi nahitaji kwa ajili ya mashamba yangu kidogo ambayo hayafiki 50 acres lakini pia kusombea mizigo na kazi nyingine kama kupukuchukua mahindi.
 
Back
Top Bottom