Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,908
- 30,249
Tangi...Madrasa ni HOJA MUFU. Zanzibar madrasa nyingi kuliko shule lakin ndo wanaongoza kwa kufeli. Madrasa ipi inafundisha Biology ama Chemistry,
Hilo la kufeli sote tumeliona lakini hatuwezi kutoa hukumu hadi
imefahamika nini tatizo.
Ikiwa pengine walimu hawasomeshi au kuna sababu nyingine
watoto hawawezi kupasi mitihani yao.
Lakini historia inaonyesha kuwa wakati wa ukoloni Zanzibar
iliongoza katika elimu.