Architects naombeni ushauri wenu

Tangi Tomofu kibiki

Senior Member
Mar 31, 2015
118
74
Kwa wataalam wa usanifu wa majengo ( Architecture) naomba msaada. Hapa nina raman ya nyumba (floor plan) imechorwa tu inamis dimensions.
Kwa anayejua tusaidiane, tutalindana.

Asante.
 
Hata kama hawajaonesha.. unaweza.. kuna Basic dimension unaweza kukadilia.. kama ni residential building..Unaweza nicheck inbox kwa maelezo zaidi
 
alafu sio ma-architectures bali ni architects!! isirudie tena kuchapia!! mm ni architect , hapo waweza kukadilia tu mwenyewe maana scale IPO hapo au ukaweka hapa picha ya hyo floor plan then ukafanyiwa makadirio hayo ya dimensions!! mwisho kabisa Huyo MTU alichoraje bila vipimo? au alikuwa anajifurahisha?
Asante kwa masahihisho ya hilo neno. Pia ushauri wako nauzingatia
 
Back
Top Bottom