Shukrani mkuu, ila vipi kwa wale wenye taaluma kama za udaktari wa mifugo either kwa ngazi ya diploma na degree pia kupata kazi majuu ni kazi ngumu kama ilivo kwa walimu au kuna utofauti? Na nchi zipi labda unajua waga zinaupatikanaji wa aina hii ya kazi mkuu
Nahisi hujaelewa billboard wanamaanisha nini kwenye hiyo issue ya tekno au kama umeelewa basi utakuwa wewe ndio umekosea kufikisha ujumbe wako, tekno hajaitwa billboard bali katajwa kama msanii anaekuja vizuri na nimsanii wa kumuangalia mwaka huu (2017) so wala sio issue ya viewers kama...
Kuna vigezo vimewekwa hapo ila nashangaa still kuna mtu kama
1. Lizaboni-huyu jamaa makala zake nyingi ni kuhusu siasa sawa ila anakosa kigezo kwakuwa ana kasumba ya kuwa upande mmoja wa chama cha mapinduzi hivo kwa upande wangu naona hakustahili labda kama hicho kigezo kisingekuwepo
2...
Bado jina la msanii ben pol linatawala maskio ya wapenda burudani hasa ya muziki, baada ya kufanya vizuri mwaka uliopita na ngoma yake ya Moyo Mashine na akaja kushirikishwa kwenye wimbo wa Darassa Muziki na kuzidi kuufanya mwaka 2016 kuwa mzuri zaidi kwake
Hakutaka kuchelewa sana kwakuwa...
Me nimeuliza kwakuwa nilikuwa nashangaa mtu ana D moja atawezaje kusoma chuo tena kwa kuomba nacte kabisa kwa mujibu wa yule jamaa niliemuuliza ila all in all me sio mlengwa mkuu, nilibahatikaga kuendelea na advance
We ata jina tu hujui kuliandika ndio utajua kama kweli lina formula? Draft lina formula na lina husisha akili ndio ila siri ya draft ni kujua aina ya michezo mingi na kuikariri basi, hapo utakuwa unafungwa na mtu ambae anacheza mchezo mpya kwako au uwe unacheza na mtu unaelingana nae kiwango so...
Kwa mujibu wa master j, kuwa zamani walikuwa wanarecord kwa hela nyingi sana tofauti na leo ambapo kwa dar hata ukiwa na elfu 50 nawewe unakuwa na wimbo, so kwa wale maproducer waliokuwa wanatoza hela nyingi hawawezi kutoka mfano kwenye kutoza milion hadi kwenye laki 1 au 2 hivo wameamua kuacha...
Sasa mbona kama unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe....! Unauliza alafu unajijibu mwenyewe. Anyway lile ni goal safi tu kama magoli mengine
Kama umeangalia game sidhani kama wewe umeona tukio hilo hilo tu kwa dakika zote 90, kabla ya lile goal kipa alikuwa na mchezo wa kujiangusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.