tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 559
Bado jina la msanii ben pol linatawala maskio ya wapenda burudani hasa ya muziki, baada ya kufanya vizuri mwaka uliopita na ngoma yake ya Moyo Mashine na akaja kushirikishwa kwenye wimbo wa Darassa Muziki na kuzidi kuufanya mwaka 2016 kuwa mzuri zaidi kwake
Hakutaka kuchelewa sana kwakuwa anajua bado watu wanasikiliza muziki pia na ata Moyo Mashine hivo kaamua kufanya timing na bonge la ngoma kwa upande wangu, nyimbo inaitwa phone akiwa kampa shavu msanii wa Nigeria anaitwa mr eazi, mwaka huu utakuwa wa ushindani sana kuliko mwaka uliopita najua wasanii wengine nao wapo mbioni kuachia mangoma makali
Nimejaribu kuweka audio ila nimeshindwa kwa anaeweza sio mbaya kama ataamua kunisaidia, shukrani