Msaada wa kozi gani nisomee

Msaada wa kozi gani nisomee

Habari za muda huu ndugu zangu me mgeni kwenye jamvi na kijana mdogo nmemaliza kidato cha 4 mwaka 2015.
Sasa je nsomee kozi gani itayofit alama zangu D 3 za Kiswahili,Biology,Civics masomo mengine yote F alafu nilisomea arts.

Msaada wana jamvi
Nipigie 0769648110
 
Nipigie 0769648110
Weka madude hapahapa usije ukaampeleka dogo kwenye chuo ambacho hakijasajiliwa dogo ana d3 ningumu kupata chuo vinginevyo labda veta dogo umli bado unaruhusu kama unapenda kusoma option iliobaki itakuwa ni kurudia paper tu
 
makavu live una D-5 chuo sahau ngazi cheti
 
Ukiwa na d moja tu ya bios na zingine zote f husomi hii kozi ''' vigezo vyake ni hizi unatakiwa kuwa na pass nne ila katika hizo pass nne d moja iwe ya bios na d nyingn 3 kutoka masomo mengne ila ww inaonyesha una d3 tu so hutosoma chuo chochot then pia mfumo wa sas hv mama anataka kuanzia d4 so ww labda utumie njia ya panya tu ila hamna kitu hapo
Me nimeuliza kwakuwa nilikuwa nashangaa mtu ana D moja atawezaje kusoma chuo tena kwa kuomba nacte kabisa kwa mujibu wa yule jamaa niliemuuliza ila all in all me sio mlengwa mkuu, nilibahatikaga kuendelea na advance
 
Habari za muda huu ndugu zangu me mgeni kwenye jamvi na kijana mdogo nmemaliza kidato cha 4 mwaka 2015.
Sasa je nsomee kozi gani itayofit alama zangu D 3 za Kiswahili,Biology,Civics masomo mengine yote F alafu nilisomea arts.

Msaada wana jamvi
nakushar wangu VETA itakutoa wangu ucjar nichek tuchonge 0658831336
 
Weka madude hapahapa usije ukaampeleka dogo kwenye chuo ambacho hakijasajiliwa dogo ana d3 ningumu kupata chuo vinginevyo labda veta dogo umli bado unaruhusu kama unapenda kusoma option iliobaki itakuwa ni kurudia paper tu
Au sio bro nmekusoma kk ngoja nitulize kichwa kwanza

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom