Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 845
Kwenye frech ndio hatari zaidi, kwakifupi hadi unifunge draft uwe bingwa kwelikwelivipi kuhusu French style..tunakula mbele na nyuma
Kwenye frech ndio hatari zaidi, kwakifupi hadi unifunge draft uwe bingwa kwelikwelivipi kuhusu French style..tunakula mbele na nyuma
la mbele na nyuma lipo kwenye computer dahNchi nyingi wanacheza draft la kwenda mbele na nyuma, lakini kwa Tanzania yapo ya aina mbili, kuna hilo la mbele na nyuma na kuna la mbele tu
We ni mtaalamu wa lipi?
Kuna mistari mitatu muhimu saana kuijua na kuikamata ukiwa unacheza na mwenzako..... then kuna formation za kete...... then kuna key room.... naandaa mchoro ntakuonehaTupe maujuzi
Itakua dengueFomula yake ilikuwaje!??
Mkuu hata mm nasubiri kwenye hiliKuna mistari mitatu muhimu saana kuijua na kuikamata ukiwa unacheza na mwenzako..... then kuna formation za kete...... then kuna key room.... naandaa mchoro ntakuoneha
We ata jina tu hujui kuliandika ndio utajua kama kweli lina formula? Draft lina formula na lina husisha akili ndio ila siri ya draft ni kujua aina ya michezo mingi na kuikariri basi, hapo utakuwa unafungwa na mtu ambae anacheza mchezo mpya kwako au uwe unacheza na mtu unaelingana nae kiwango so mnaoteana au kama yule bwana hapo nyuma aliesema alikutana na mchezo unaitwa ebola na kwake mpya lazima apigwe sana hadi atakapouzoea, draft ni kama bao tu anaejua michezo mingi ndio bingwaTusidanganyane hapa..
Draught halina formula..
Draft unatumia akili kama mpira wa miguu, unacheza mpira kadiri utakavyodunda.. jumlisha kipaji..
Kama hauna kipaji cha draught hata ulicheze mpaka unakufa we ni wakufungwa tu! ukishinda labda umebahatisha au umecheza na kilaza..
Lipo.Inahitajika umakini tu.. hivi hili gemu la draft kwenye play (google) store lipo
Hatubishani mkuu tulikuwa tunaeleweshana tu. Anyway sorry kama nimekukwazanilijua ni mfuatiliaji, kwamba ukiona neno jipya utajaribu kujiuliza limetoka wapi basi ulifuatilie, basi ni vyema kukuacha na misimamo yako.
however, lengo la post yangu sio kubishana na mtu nilikuwa na changia tu mawazo yangu..!
Na concentration, kuna wakati nilikuwa napiga watu mpaka naona raha. Nilipouacha na kurudi tena, nikawa nashinda kwa 40% ya game zote nnazocheza.ni mchezo mzuri sana na ninaupenda sana kuweza kuwa na kiwango cha kati unahitaji practice zaidi nikiwa na maana anza kucheza na wale unaolingana nao kiwango ambapo itakuchukua hata mwaka kuimprove baada ya hapo tafuta kijiwe kingine wanaokuzidi uwezo upambane nao nadhani itasaidia sana kujua zaidi.
Nb. kumbuka huu mchezo unahitaji kufanya mazoezi zaidi ya kuucheza kuliko kuelekezwa kinadharia
PumbaaaaaaaavuuuUnatakiwa kuwa na silaha zitakazomzidi mpinzani wako, kama utakua unatumia nyuklia unaweza kuteka mpaka kete za wacheza drafti wengine@
Hamna kitu hapa.Hakikisha hupotezi kete yoyote bure...yaani kama kula Kate angalau kwa kila kete upate faida..japo sio kila kete utakayokula italeta faida..wakati mwingine ni kuujenga mashambulizi..ili kushinda lazima uwe na kete nyingi kumshinda mpinzani
Yapo mengiInahitajika umakini tu.. hivi hili gemu la draft kwenye play (google) store lipo
Hamna kitu kwasababu hujui kucheza...Hamna kitu hapa.