Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kama tulitarajia kumshusha Diamond kwa views mara ana nunua basi tutasubiri sana.
Naamini ipo siku na yeye ataitwa Billboard.
Ameweza rafiki yake bwana @Tekno kufikisha views 13 millions na kuendelea na kupostiwa @Billboard mpaka sasa, ndo atashindwa Platnumz!!
Number huwa hazidanganyi.
Hongera @Tekno.