Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Kuna watu hawataniani bali huumizwa na mafanikio ya hawa wanamuziki...
sababu ni ndogo tuu tabiri za kushindwa kwao...kuna waliotabiri Diamond atafeli akifanikiwa huumia na kuibua yasiyohusika, pia wapo waliotabiri Ally kufeli anapofanikiwa kama hivi huumia na kutafuta pa kujifichia......
Hii ni ishara tosha hata kwenye haya maisha yetu ya kila siku huwa tunatabiriana hivyo yakiwa kinyume ndo hayoo ya kutafuta kichaka,, wahanga ni wengi sana mtu anaweza mchukia na kumtabiria mabaya mwenzake kisa tuu kapita njia asiyoiamini...
kuna watu bila aibu walitumia nguvu nyingi kuikosoa videoza Ally za Mwana na Aje pia wimbo walioshirikiana Saut sol na Ally wakidai Ally kaharibu hajui na mengine mengi wimbo ulipoanza kutamba kwenye chati mbalimbali wakabadili maneno mara kabebwa wengine wakajitia wazimu na kudai ni wimbo wa Saut sol na si wa pamoja, pia wapo waliokosoa wimbo kama wa Nana wa Diamond na Mr.Flavour ama wa Make me sing lakini zilipokuja kubeba tunzo wakaanza hoo kabebwa mara si nyimbo zake na upuuzi kibao.....
hatukatai kuna baadhi ya nyimbo huwa si kali sana kama Lupela ya Ally na Wangu ya Diamond na Dolnard na ni kawaida siku zote huwezi patia mahutaji ya wengi lakini si kila siku maneno mbovumbovu
mkuu unasema lupela sio wimbo mkali, unajua electronic wewe au ndo ushazoea afropop, hebu pata muda sikiliza electronic music
 
Vichwa vyenu vigumu kuelewa kilichobaki ni kuwaoa tu ndio mtaelewa, ameanza The bold kamchukua Nifah,sasa hivi yupo kimya Nifah umsikii tena kushabikia upuuzi wa team kibakuli,tukimaliza wanawake wenu,tunahamia kwa wanaume,mkajiandae!!
Jitahid utupe tundu hiloooo tutanyamaza...tundu siyo mchezo leteeee
 
Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora ya mwaka kwa africa kupitia kituo kikubwa cha television cha soundcity televion. Hongera kingkiba View attachment 451942
mkuu mbona unazungumzia upande mmoja kama sio mtanzania.. KWENYE HIZI TUZO DIAMOND KACHUKUA TUZO TATU NA ALLY KIBA KACHUKUA TUZO MBILI NA NAVY KENZO WAMECHUKUA TUZO MOJA..
 
Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!
 
Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!

Si lazima nyimbo zote zipendwazo nawe uone uzuri/utamu wake mie nyimbo kama Hakunaga wa Suma Lee na Mikasi wa Marehemu Ngwair sikuwahi kuona utamu wake katu hivyo hiyo ni kawaida mkuu.
 
mkuu mbona unazungumzia upande mmoja kama sio mtanzania.. KWENYE HIZI TUZO DIAMOND KACHUKUA TUZO TATU NA ALLY KIBA KACHUKUA TUZO MBILI NA NAVY KENZO WAMECHUKUA TUZO MOJA..
Mkuu umechanganya kidogo mafaili tuzo unazosemea wewe ambazo amechukua Diamond, Alikiba na navykenzo ni tuzo za GHANA na sio NIGERIA.
 
Back
Top Bottom