Msaada wa kozi gani nisomee

2game

Member
Jan 1, 2017
10
2
Habari za muda huu ndugu zangu me mgeni kwenye jamvi na kijana mdogo nmemaliza kidato cha 4 mwaka 2015.
Sasa je nsomee kozi gani itayofit alama zangu D 3 za Kiswahili,Biology,Civics masomo mengine yote F alafu nilisomea arts.

Msaada wana jamvi
 
Swali kwanza- unapenda nini? Inaonekana hujui ndoto zako ni zipi na hujui unataka kufanya nini katika maisha yako ila unasoma tu kama sheria iliyopitishwa. Then umepata random D's ni vigumu hata kupata kozi ya kusomea. Ushauri wangu tafta special skill uliyonayo then iendeleze, au unaweza ukarudia mtihan wa 4 ili ufauru vizur kama unataka kwenda chuo
 
ahsante mkuu lkn nikurekebishe kidogo si kwamba sina ndoto au sikua na ndoto nlikua nazo ila zimefeli sina budi kutafta plan B mzee au ulitaka nikae kizembe
 
What makes you believe kuwa umefeli? Why don't you fight for your dreams?! Only 4m4 unasema ndoto zimefeli!!!!!
 
haya bro bc niseme sikureach my goals plans ila nitafanya kadri niwezavyo nikamilishe ndoto zang in other way thanks man
 
Mkuu kwahiyo ata mtu akiwa na D moja ya Biology na zingine zote F anakuwa na kigezo cha kusoma hiyo cousre?
Yeah, chakuangalia ni chuo na competition tu nimewaombea weng, wengi wamekubaliwa na D ya bios but anaweza kuwa na division ya 29 inamaan kuwa chuo alicho chagua hakina ushndan mkubw ndo chakuangalia zaid
 
Kama huna haraka omba nacte March wakifungua angalia vyuo ambavyo haviwez kuw na competition kubwa e.g Huwez kuchaguliwa community health ya Muhimbil sababu competition itakuw kubwa
 
Ukiwa na d moja tu ya bios na zingine zote f husomi hii kozi ''' vigezo vyake ni hizi unatakiwa kuwa na pass nne ila katika hizo pass nne d moja iwe ya bios na d nyingn 3 kutoka masomo mengne ila ww inaonyesha una d3 tu so hutosoma chuo chochot then pia mfumo wa sas hv mama anataka kuanzia d4 so ww labda utumie njia ya panya tu ila hamna kitu hapo
 
Mi binafsi nakushauri kiukweli kama unataka kuendelea kusoma katafute kwanza tena anagalau D zifike 5..am serious
 
Na Mm nataka Nipige iyo course yA community health nina
C kisw
C English
D bio
D geo
D hist
D civ
F math
Naweza kupokelewa
 
Yeah, chakuangalia ni chuo na competition tu nimewaombea weng, wengi wamekubaliwa na D ya bios but anaweza kuwa na division ya 29 inamaan kuwa chuo alicho chagua hakina ushndan mkubw ndo chakuangalia zaid
Naweza nikachagua iyo kozi
 
Kama huna haraka omba nacte March wakifungua angalia vyuo ambavyo haviwez kuw na competition kubwa e.g Huwez kuchaguliwa community health ya Muhimbil sababu competition itakuw kubwa
sasa hao wa march shule wanaanza lini tena...
 
Back
Top Bottom