Recent content by Tajiri Kichwa

 1. Tajiri Kichwa

  Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

  Wameshaanza kubwabwaja huko alianza haraka haraka kaja bush man sahivi supika
 2. Tajiri Kichwa

  CCM Bingwa wa Mikakati na Ufanisi

  Umesahau mkakati wa kukuza wajinga na vijana wachumia tumbo
 3. Tajiri Kichwa

  Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

  Bidhaa kukubalika sokoni ni hadi ifike ndio utajua output ya hiyo bidhaa na uka act accordingly
 4. Tajiri Kichwa

  Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

  Kila kitu ni target mkuu inawezekana ukiweka mikakati sawia ya kufikisha iyo product kwa consumers
 5. Tajiri Kichwa

  Kuna Watu hapa nchini wameamua kuunga mkono uovu tu

  Mkuu jikite kwenye kutafuta pesa na kuchengana na Tiaraeyi kuliko kunufaisha kikundi cha watu wachache
 6. Tajiri Kichwa

  Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

  Nina udhoefu kwenye biashara zaidi kuuza “sale”
 7. Tajiri Kichwa

  Ni starehe gani inapendwa Sana na watu hapa duniani?

  Starehe inayopendwa dunia ya sasa ni kupata pesa, kua na pesa
 8. Tajiri Kichwa

  Barua ya wazi kwa Dada Halima Mdee

  Ikiwa spika mstaafu kasema wale hawana sifa za kua wabunge nasubiri kuona janja ya ndugai atawakingia kifua vipi. Ila mwisho wa siku ata wao ccm wamekuja shituka kuna vitu hawakukamilisha kuweka ili jambo sawa, mfano mahera kaishapishanisha kauli “tarehe 20 alisema hajapokea barua ofisi...
 9. Tajiri Kichwa

  CCM Bingwa wa Mikakati na Ufanisi

  Wao kama mabingwa wa mikakati wafanye kupunguza tatizo la ajira kwa vijana. Mitano tena ata pale dodoma yeye mwenyewe haelewi anaimaliza vipi
 10. Tajiri Kichwa

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Exactly mkuu yaani timu unashindwa elewa wakati fulani inacheza nini
 11. Tajiri Kichwa

  Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

  Yaani maana watu walikua wameshaanza kusahau maswala ya uchaguzi na fitina zake ila hili jambo linazidi onesha jinsi ganj ccm walivyokosa utiifu na katiba.
Top Bottom