United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
Real 2 ALM 2
Game hii watoto lazima wafe washachanganyikiwaTuna dakika 15 za kupindua meza., je tutafanikiwa?
Vamooooos Real¡¡¡
Toni kroos anaenda njeTuna dakika 15 za kupindua meza., je tutafanikiwa?
Vamooooos Real¡¡¡
watoto wadogo izi show sio zaoMazombi yalitaka kutung'ang'ania.
Huyu chalii hana mambo mengi. Ila anajua man kujitafutia nafasi kwenye eneo la upinzaniTop top top player, Jude Bellingham
izo dakika kumi na moja za mwisho zikua za moto sanaReal Madrid 3-2 Almeria
Man acha tu, tuliwatafuta sana., Camavinga hapati nafasi kihivyo ila yule mtoto anajua mpira.,izo dakika kumi na moja za mwisho zikua za moto sana
kabisaMan acha tu, tuliwatafuta sana., Camavinga hapati nafasi kihivyo ila yule mtoto anajua mpira.,
Ninadhani Ancelloti amejifunza kitu.,
Ubingwa huwa ubabebwa namna hii, kwenye kipindi kigumu kama hiki tulichopitia leo.
Camavinga alikuwa majeruhi, amerudi ile mechi na Atletico. VS Almeria ni mechi yake ya pili, kama sijakosea.Man acha tu, tuliwatafuta sana., Camavinga hapati nafasi kihivyo ila yule mtoto anajua mpira.,
Ninadhani Ancelloti amejifunza kitu.,
Ubingwa huwa ubabebwa namna hii, kwenye kipindi kigumu kama hiki tulichopitia leo.
Na hatimaye tukashinda man, ila bado ninaona performance ya team haikuwa nzuri,vin kachomoa