Jamaa anajua mpira , anafunga na kuassist ,we unafikiri Arteta ,Pep Guardiola nk ,high profiled coaches kumtaka mtu kama yule unafikiri ni mchezo au sio ? , we huoni mchango wake msimu huu kwenye kufunga na kuassist ? , bila contribution ya Jude , real Madrid msimu huu kwenye ligi wangekuwa wapi ?
Au ndio ninyi mnaangalia mpira kwenye Livescore Tu , hata kwenye Livescore ungeona assists and goals contribution zake
Ni Kenge gani Bernabeu mwenye hata robo ya contribution ya Jude Bellingham msimu huu ?, na hata msimu haujafika nusu
Angalia statistics zinasema vipi ,sio kukimbilia tu anapewa hype ,hype ipi ?
We huwa unaangalia mpira kweli wewe ?