Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,488
Sie hatujui, tunaweka tu
Changamoto ni kuwa,wanapoangalia mechi za madrid wanakuwa wamezongwa na chuki dhidi sana juu ya hii timu.Vijana wa kule Facebook, eti Girona kapoteza game mmoja tu tangu La Liga ianze, nikawaambia leo anapoteza ya pili. Sijui kwanini hii timu watu wanaichukulia poa! Acha Rudiger na Militao warudi ndio tutaheshimiana huko UCL
Hujui unachoandikanatizama vizuri sana, hua anazunguka tu uwanjani, anongoza kuanguka ovyo kuliko mchezaji yoyote yule uwanjani
Hujui unachoandika
Narudia tena huelewi unachoandika.naona mlikimbia muda tu leo mumerudi
Narudia tena huelewi unachoandika.
Acha kuangalia matokeo ya mpira goal score alafu unakuja na analysis zako uchwara.
Jamaa walituvuruga sana, individual brilliance ndio imetuokoa, ila team wise jamaa walikua na intensity kubwa sana..Shukran za kipekee ziende kwa Brahim Diaz, bila kumsahau Lunin kwa kusimama golini imara.,
HalaMadrid
Unaandika pumba tu... Hembu nionyeshe mahali nimelinganisha wachezaji wa Madrid..Wewe uliesema hakuna kitu anafanya uwanjani zaidi ya kuanguka tu ndio utuambie imekuaje katajwa mchezaji bora wa pili... Utakua ulikimbia umande wewe sio bure.Carlo Ancelotti ametangaza kuwa Vini ni Best Player. sasa wazee wa mapambio munasemaje hapo?