Recent content by tabu tabuni

  1. T

    Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Ishini nao kwa akili na mkishindwa amna umuhim wa kuishi nao. Ata mtume Paul alitusii sana kuhusu hawa watu. Ni wanaume wangapi wanakuwa vichaa, au kufa kwa ajili ya hchi kiumbe mwanamke.Na falme zote tangu Dunia inaumbwa zimeanguka kwa ajili ya mwanamke. Labda niwambie kitu kimoja wanaume...
  2. T

    Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

    Nachoweza kusema tu mungu akuzidishie maisha marefu na ya ujasiri huo huo Lisu,uzidi kututoa kizan watz wasio elewa sheria.
  3. T

    Nyati avamia kijiji na kujeruhi watu saba

    Na huyo mmbwa aliyebweka hadi akaacha kumkanyaga naomba afikiriwe kwenye hcho kitowe cha nyati.
  4. T

    Nimegundua wanaomsifia Rais Magufuli wengi masikini

    Laana inayo tutafuna wa tz ni kuwa na roho ya korosho na umimi. Hatutaki ona mwingine anapata. Na ndiyo roho za maskin wengi.
  5. T

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Kwa ufupi tulisha chelewa ushaur aliutoa tangu pindi huo mswada unapelekwa bungen mkakataa ss hv atushaur nn tena?.nie si wazee wa ndiyo endeleeni kujitekenya.
  6. T

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Mkuu tulishachelewa na ndicho lisu anachojaribu kutuambia wa Tz. Hiyo ndiyo faida ya akiliendogo kuongoza akili kubwa na ndiyo kwa kila kitu. Maslahi ya Taifa mnaweka kwenye mswada wa dharura!. Jamani wa tz ni nani aliyetuloga?
  7. T

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Na ili kwenda sawa nae ni itakubidi ukubaliane na hoja zake. Kwan hoja zake ni za kweli siyo za kupikwa kama za hawa wa upande wa kijani waliokosa muelekeo hadi ss!. Mikataba yote mibovu wamefanya wao then leo tena anakuja kujitekenya wenyewe. Kweli Tz ni zaidi ya maajabu.
  8. T

    Hivi kwanini mpaka sasa Tundu Lissu hajatunukiwa PhD ya heshima kwa michango yake?

    Unaonyesha ulivyo na uelewa mdogo wa kuchanganua jambo.
  9. T

    Utafiti: Wilaya zinazoongoza kutoa madokta(PhD) na maprofesa Tanzania

    Kweli kabisaa Moshi vijijin kiboko tena uende sehem moja inaitwa shimbwe na kishumundu huko ni balaa. Na hawanaga makuu
  10. T

    Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

    Kwangu Jesus christ ndiyo kiboko.alikufa na kufufuka.hawa wote mbona walikufa lkn wakashindwa kufufuka!?
  11. T

    DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

    Mambumvu walivyo hawajui kama serikali hapo inakosa mapato mengi kwa kufungwa hyo bar.hyo biashara ipo dunia nzima.
  12. T

    Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Lissu anatufanya tusiojua sheria tuanze kuzijua angalao kwa kuchungulia.
  13. T

    Mwanasoka gani wa bongo unahisi alistahili au anastahili kucheza Ulaya?

    Kuna mtu aliitwa peter tino alikua balaa.
  14. T

    Kinachoendelea huko Pretoria South Africa

    Kuna wimbo aliimbaga burn wellars (black sheet man) alikua anaona mbali sanaa.hii rangi haina maana na hatujitambui kabsaaaa
  15. T

    Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

    Hapo ndiyo vidume mtofautishe kati ya kupenda na kutamani.kuna wimbo flan waliimba the welas unaitwa the blac sheet man.kumbe ulikua na maana kubwa sanaa kwa watu wenye rangi kama hyo ya sijui diva.siye watu weusi tuna shida sanaaaa!.
Back
Top Bottom