Kinachoendelea huko Pretoria South Africa

Kinachoendelea huko Pretoria South Africa

Wa south Maku sana.... yaani wao wana amini Makaburu wanao ishi nao ni ndugu zao zaidi kiliko sisi.......
 
Kwa kweli hakuna sehemu siipendi kama south sijui wabongo wanapapendea nini wallah
 
HIYO MIJAMAA HAIJUI NINI UTU MIAKA MI 3 NILIYOKUWA KULE NILIHISI KAMA NI KARNE NZIMAA NIMEMALIZA! HAWAFAI HATA KIDUCHU
 
Tayari wanaigeria kadhaa washa uawa na wengine wapo hoi hospitali- ila hakuna mbongo aliye athirika na kinachoendelea huko Pretolia West mpaka sasa-- tarehe 24 na 25 mwezi huu- ndo wamepanga kumchakaza kila aina ya mgeni ilimradi tu akiwa ni mwafrika-
b0e1b60bce206c84e316a17433596ac4.jpg
049fc485a47d7b811f1704918417c9ef.jpg
66737b3fe4d8aa25143efc15302e399f.jpg
Mdogo mdogo itasambaa Afrika nzima wale wazee wa busara weshajiendea kwenye Haki
 
Kuna wimbo aliimbaga burn wellars (black sheet man) alikua anaona mbali sanaa.hii rangi haina maana na hatujitambui kabsaaaa
 
Inaonekana wazuru na wananchi wengine wa africa kusini wamedumaa akili sana...
Ni watu wa ajabu sana Msouth Africa anauliza unatoka wapi unamwambia unatoka Tanzania yeye haijuwi hata Tanzania
 
Dah,mtetezi wetu ni Trump tu,yaani umoja wa Africa umekaa kimya tu
 
Rudini nyumbani,hamjafukuzwa,siku hizi ni ''mtu kwao'',hata Msumbiji kwa ndugu zetu kimenuka.Njooni tafadhali tuna mapori yamejaa ngedere njoni tuyatumie kwa Kilimo Kwanza,tuache ndoto za mambo ya mwisho wa mwezi na kuvaa suti.
 
Haya majamaa ya south yalitakiwa kujifunza hata kwa wema waliotendewa kwa kupewa hifadhi hata Tz wakati wa apartheid system lakini naona Wivu, chuki dhidi ya wageni vinawasumbua.
Wazee ndo wanajua unachosema vijana hawana Habari za nchi zingine za Kiafrica
 
Back
Top Bottom