Recent content by swait

  1. S

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    Una ushahidi wowote katika hili? Hiyo nyingine ya kihuni unayoijua ni ipi utujuze? Kama huna ushahidi wa unachokisema mkuu kaa kimya,vinginevyo peleka post yako kwenye thread za udaku au tetesi.
  2. S

    Nyaraka: Ripoti ya Nundu kwa Kamati ya Miundombinu na MoU halisi

    Wakuu, Ni lazima tuwe completely neutral tunapofanya judgement. Waziri Nundu ni mzalendo wa kweli,mtu makini,competent. But alitaka kutolewa kafara na genge la majambazi la akina Serukamba na Mfutakamba. Tujihadhari kutoa hukumu kwa magazeti yetu yaliyojaa uozo, uongo kwa kuandika habari ambazo...
  3. S

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Moja ya maazimio ya kamati iliyochunguza tuhuma za katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini(Jairo), ilikuwa ni kutazama upya muundo wa wizara. Point iko hivi,katika hizi wizara,yakupasa uelewe chain of command haiko kama unavyofikiria,kuwa waziri ndie incharge wa maamuzi yote ya wizara,la...
  4. S

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Well said mkuu!
  5. S

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Mkuu Tamuchungu, Nakubaliana na wewe. Tuna ugonjwa mmoja waTanzania, kuhukumu kwa kutumia mahakama ya magazeti. Watu hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya waziri kujiuzulu. Hatuwezi kutumia mass ku-determine haki ya mtu. Waziri Nundu ni msafi, nimejiridhisha hivyo. Maelezo yake yamethibiti...
  6. S

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Mkuu mpingauonevu, Nakubaliana na wewe. Tuna ugonjwa mmoja waTanzania, kuhukumu kwa kutumia mahakama ya magazeti. Watu hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya waziri kujiuzulu. Hatuwezi kutumi mass ku-determine haki ya mtu. Waziri Nundu ni msafi, nimejiridhisha hivyo. Maelezo yake yamethibiti...
  7. S

    JK kukutana na Wazee wa Mkoa wa Dar J'nne kuwaeleza serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa

    JK kama Rais wa nchi lazima awe na msimamo kwenye mambo ya msingi. So kama atafanya press conference au kukutana na wazee wa mkoa wa Dar es salaam ni moja ya njia ya kuwajuza wananchi kinachoendelea serikalini. Hakuna tatizo hapo.
  8. S

    Wabunge wa CCM hawana mamlaka ya kumwachisha kazi Waziri; JK awatosa!

    Napenda kuuliza kitu kimoja. Tangu wenyeviti wa kamati za bunge walipobainisha ubadhirifu kwenye wizara mbalimbali, umepita muda gani wa kuchunguza tuhuma hizo ili itoshe kusema kuwa mawaziri hawafai kwa kushindwa ku-act. Kama niko sawa,ni less than 1 week tangu wenyeviti walipowasilisha ripoti...
  9. S

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Well stated, salute mkuu!
  10. S

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Mkuu Ben, Itakuwa ni ngumu mno kwa maana kuna wenzetu wanakuwa radicals kiasi kwamba ni muhimu kwao kujenga upinzani dhidi ya hoja badala ya kujenga hoja dhidi ya hoja yenyewe(fact to fact). Imagine, watu wanajiandaa kupinga jambo ambalo hata halijawasilishwa.! Tunawachagulia watu maoni au...
  11. S

    Lema apewa chopa kujenga Chadema

    Mkuu kwenye CDM usizungumzie swala la shule,sio muhimu maadam unatokea kaskazini, na pili kama uko dini rasmi ya chama,elimu sio tatizo. Unataka Lema ashawishike kwenda shule aige mfano wa nani,kama viongozi wake ni hawa: Mbowe, Slaa, Mnyika..
  12. S

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    List ya CCM ni ndefu sana mkuu,na it is obvious kuwa at least kuna uwiano ingawa wakristo ni wengi. Unaweza kuona hata wabunge walioshinda CCM bungeni,utapata waislam japo wachache. CCM walithubutu hata kuweka wagombea wa dini tofauti kwa kila mkoa. It is shame kwa CDM kuwa vinara wa kuzungumzia...
  13. S

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Bokassa, Hiyo uliyompa ni mifano michache, balance ya kidini anayoitaka Edwin Mtei-Muasisi wa Chadema,balance hii ndani ya chama alichokiasisi ikoje? Uwiano wa waislam na wakristo ukoje? Mbona hatujamsikia aki-defend religious inbalance ndani ya CDM? Zungumzia kuhusu wajumbe wa baraza kuu la...
  14. S

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Ndugu, Unafikiria mwenyewe au kuna mtu anafikiri kwa niaba yako? Nakuuliza kitu kimoja ukiweke wazi hapa jamvini. Marais walotangulia walishaunda tume nyingi sana ,na hata ikiwemo pia tume ya marekebisho ya katiba. Unakumbuka uwiano kati ya waislam na wakristo ulikuwaje?,ili tutumie kuwa...
  15. S

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Fundi Mchundo, Kwa hiyo una tatizo na hoja yenyewe au tatizo ni hoja/dai hiyo kuwasilishwa na waislam? Mkuu,nadhani kuna kitu muhimu unakikosa au hukijui kuhusu Chadema. Mtei hana cheo katika chama?Na unaamini hivyo katika mtazamo gani? Kutokuwepo kwenye formal structure ya kichama haitoshi...
Back
Top Bottom