JK kukutana na Wazee wa Mkoa wa Dar J'nne kuwaeleza serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa

Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya J'nne Ukumbi wa Diamond kuwashitaki Wabunge wachache wa CCM wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa Wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- Iddi Simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi JK ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!

Hakuna habari nzuri kwangu kama hii kwa maana sasa hata taahira ataelewa kuwa ccm haipo kwa maslahi ya mlala hoi! Kama usipokubali kushinikizwa kutimiza matakwa ya mpiga kura sasa una uhalali gani wa kuwepo madarakani??? CHADEMA changamkieni hili, kwa hili hata kama kuna mtu CHADEMA aina ya Lusinde bado wananchi wanaopigika na hali ngumu watamuelewa!
 
Jk ni mswazi,kwanza haoni shida coz iyo nafasi kaipata bahati mbaya.hebu angalia mandhari ya lugoba,
 
Marksman,

Sipendi kuamini Rais Kikwete anaweza kufanya mambo ya hovyo kiasi hicho.Tafadhali tumpatie Rais wetu heshima anayostahili na ikiwezekana tumsaidie amalize awamu yake salama mambo ya kumzushia kwamba atakutana na wazee wa Dar ni siasa za maji taka.

Kwahiyo nawe ni msemaji wa Ikulu. Weka source ili tuamini ni siasa za majitaka.
 
heshimu kila mamlaka iliyoko dunian mama hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu
 
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya J'nne Ukumbi wa Diamond kuwashitaki Wabunge wachache wa CCM wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa Wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- Iddi Simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi JK ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!

.
Hivi wazo la kumpima huyu Rais wetu kwa wataalamu wa magonjwa ya akili lilishafikiriwa? Hakyaanani nawahakikishieni tuna mwehu ikulu awamu hii.
.
 
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya J'nne Ukumbi wa Diamond kuwashitaki Wabunge wachache wa CCM wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa Wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- Iddi Simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi JK ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!

JK kama Rais wa nchi lazima awe na msimamo kwenye mambo ya msingi. So kama atafanya press conference au kukutana na wazee wa mkoa wa Dar es salaam ni moja ya njia ya kuwajuza wananchi kinachoendelea serikalini. Hakuna tatizo hapo.
 
Bado ninawasiwasi Kama JK atalifanya hili. Nilishawahi andika humu kuwa Kwa hali ilivyo tete serikalini hivi Sasa sidhani Kama angetumia jukwaa la wazee katika kutafuta suluhu. Wengi tumeshabaini kuwa kukutamani na wazee wa CCM Dar ni kwaajili ya kupika propaganda za kupotosha ukweli wa jambo halisi. Sijui kwanini hao washauri wake wanamshauri atumie jukwaa mipasho katika kutatua matatizo makubwa ya serikali. Nafikiri labda Raised wetu hashauriki ama wameamua kumpaka matope.
 
Hakuna udhaifu mkubwa kwa kiongozi kama kuruhusu wapiga kelele kukuyumbisha, Kosa kubwa la JK ni kumteua PINDA ambaye hana misimamo ni weak sana yaani anaboa ningekuwa JK ningemfukuza na kumuomba astaaf hadi ubunge.
Anaboa sana PINDA.
Pinda ndio chanzo cha matatizo serikalini. Hivi hakuna wanajeshi bungeni wapewe hii nafasi!
Mkuu umefunguka!
 
baada ya kikwete (kupitia pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, mkuu huyo wa kaya atakutana na wazee wa mkoa wa dar es sakaam siku ya j'nne ukumbi wa diamond kuwashitaki wabunge wachache wa ccm wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- iddi simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi jk ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!

jamani hili ni janga,kwahiyo kesho hakuna jipya.sishangai sana kwani mwenyewe unaona jinsi upepo ulivyobadilika baada ya mkulu kurudi kila waziri aliyeshutumiwa anaibuka na kutoa kauli ya kutojiuzulu.ndivyo walivyoelekezwa kujisafisha ili mukulu awe na reference wakati wa kutoa hotuba yake,kwamba amewaita na wametoa maelezo na hajaona mwenye kosa.tumekwisha maana watarudi ofisini na kiburi kikubwa cha mkulu na watakwenda kufilisi kabisa hata kilichobaki.na hapa maoni yangu ya kwanza kwenye katiba mpya ni kuweka kipengele katika katiba kitakachoondoa kinga ya rais mstaafu kutoshitakiwa kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani.kama rais na kiongozi namba one alipaswa kuwa muaminifu kwa umma pengine kuliko kiongozi yeyote.mahakama itampa haki yake.pinda namuonea huruma kufanya kazi chini ya mheshimiwa huyu,heri ajiondoe mwenyewe.kama kweli hili ndilo atakalofanya mkuu basi kwa kauli na staili hii ina maana amewadharau wananchi tuliyompa kura na kuwakumbatia wezi,wabunge ni sauti ya wananchi.mwenye dhamana na hili ni mh zitto.tafadhali sana tena sana tusaidie kuondoa hiki kiburi na matusi kwetu walipa kodi,hakikisha hufanyi kosa lolote ambalo litafanya hoja yako ikwame.tufikishe kwenye secret ballot na huko nakuhakikishia mheshimiwa wabunge wa ccm watamuadhibu.mwenye contact binafzi ya zitto tafadhari amfikishie huu ujumbe.sasa tuone ikifikia hapo napo atagoma kuwachukulia hatua hawa wezi,au sasa atagoma na kuingiza nchi ktk hali mbaya sana.ila pia nashukuru kuwa kwa madudu haya ambayo serikali hii ya magamba inafanya inatupa mwanga nini cha kufanya kwenye kura ya maoni ya katiba mpya,haya shime wananchi tujiandae kutoa maoni ambayo yataunda katiba itakayozaa tanzania mpya
 
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya J'nne Ukumbi wa Diamond kuwashitaki Wabunge wachache wa CCM wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa Wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- Iddi Simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi JK ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!

This is a joke, right?
 
Back
Top Bottom