Recent content by SuperSami

  1. S

    Ubalozi wa Botswana kwa Dar es salaam upo sehemu gani?

    Salam wakuu! Naomba nisaidiwe kujua mahala zilipo ofisi za ubalozi wa Botswana hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani
  2. S

    Wiki tatu kesi bado iko polisi,..nifanyeje?

    Samahani mkuu! Mkuu wa kituo ndiye anayeamua kesi iende mahakamani au ibaki polisi? Nadhani ipo sheria ya muda wa kupeleka kesi mahakamani, na huo mda nadhani umezidi ilitakiwa iwe imepelekwa mahakamani bila kujali ni jinai au madai. Swali linauliza tufanyeje kisheria ili kesi ipelekwe...
  3. S

    Wiki tatu kesi bado iko polisi,..nifanyeje?

    Sina ufahamu wa kina kuhusu corporate veil lakini kidogo najua kuwa kesi ya kampuni lazima ianzie kwanza kushitakiwa/kudaiwa kampuni hadi itakapobainika kuwa kampuni haiwezi ndo mahakama itafanya ku pierce the veil of corporation na kuangalia nani alihusika kufanya labda fraud ndo awajibishwe...
  4. S

    Wiki tatu kesi bado iko polisi,..nifanyeje?

    Bosi wangu alikamatwa na Polisi tarehe 28 mwezi May 2019. Akalala mahabusu siku 3 akatoka kwa dhamana. Lakini tangu hapo anaambiwa aripoti polisi kila wiki ila kesi bado haijapelekwa mahakamani hadi leo. Mtu aliyeshitaki anaidai kampuni na sio mtu binafsi aliyekamatwa,...lakini yeye akaenda...
  5. S

    Tovuti hii sikuwahi kuiwaza hapa Bongo

    hata kama ni kitu cha elfu tano ili mradi kinauzwa online
  6. S

    Tovuti hii sikuwahi kuiwaza hapa Bongo

    Wakuu salam! Leo nimeona niwashirikishe habari hii hasa wadau wa manunuzi online. Kuna jamaa ambao ni member wa humu JF (mmoja ni Konzogwe nahisi), wamefungua kampuni inayosaidia watu wanaotaka kununua online ila wanashindwa. Wao wakikufanyia kazi unawalipa commission kidogo. Web yao ni hii...
  7. S

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Sheria za Tanzania ni lazima gari lifanyiwe hiyo inspection. Na ukileta bila inspection halitapewa usajili hadi ukubali wao walikague na watakupiga pesa nyingi zaidi.
  8. S

    Halmashauri ya (W) Mkalama haina ofisi ya T.S.D (teachers service department), niipate wapi?

    Mimi ni mwalimu, nahitaji TSD number, nimeenda halmashauri ya wilaya yangu Mkalama kufuatilia lakini bahati mbaya hiyo huduma haipo. Nimemwuliza DEO lakini kaniambia hizo TSD number tutatafutiwa tu halafu tutapewa!... Sijaridhika na jibu la mkuu wangu wa idara maana mie nina miezi 4 kazini, na...
  9. S

    Barua kwa Waziri wa Elimu kuhusu Shule ya Sekondari Chemchem

    Jamani eeeh!!! Naomba mrejesho wa hii kashfa. Je wahusika wamechukua hatua au imepotezewa? Natamani kufika huko chemchem angalau nimwone huyo mkuu na niwaone hao wasichana na hao walimu wake.
  10. S

    Natafuta mwanamke Singida mjini 20-30

    Nahitaji mwanamke aliyepo Singida mweny e miaka 20-30. Mimi ni mwanaume miaka 36. Aliye tayari aniPM. Please!
  11. S

    Hii ni kwa wenye ndoa tu!

    Ha! Masai Dada kumbe na wewe bado! Basi tuoane halafu tuweke kumbukumbu hapa hapa ndo tumekutania tukichangia thread ya wenye ndoa.
  12. S

    "Throw the bucket where you are"....

    Nianze kwa kutoa kisa cha kweli then niwashauri wanaotafuta wachumba. Siku moja jeshi la Uingereza lilikuwa kazini baharini na wakaishiwa maji ya kunywa. Mkuu wa kikosi akapiga simu nchi kavu ili watumiwe maji toka bara kupeleka huko baharini. Lakini jibu aliloambiwa ni hili "Throw the bucket...
  13. S

    Hodi Singida!

    Asante mkuu!
Back
Top Bottom