Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Teh mimi nilikua mratibu elimu sichezi mbali
Mi mwenyewe sina mchezo ukijipitisha nakulamba tu...
Teh mimi nilikua mratibu elimu sichezi mbali
Ila hujanielewa kabla hujaitwa supasami ulikuwa nani?
au ndo kweli umekuja jana?
Yes nmekuja jana. Plz!
Tupo wengi sana mkuu,karibu sana Singida
Singida nitakuja mwezi wa tisa
Singida nitakuja mwezi wa tisa
Tukutane kilima meimosi!!
Jamani mwenzenu mimi ni wa kiume, nimehamishwa kikazi toka Dar es Salam kwenda wilaya ya Mkalama Singida. Nihitaji wenyeji na marafiki wapya mnipokee nizoee mapema!
unafikiri singida kichaka hawaishi watu..karibu sana tupooSingida kuna JF members? Just curious!
Brother pole sana kwa kutupwa huko! Mi napajua vizuri. Kule hata usihangaike kwenda na ule usafiri wako maana hamna pa kuendeshea, barabara zote mashimo
. Ila nakuaminia kwa ku cope na mazingira. Na pia mitandao ya simu ni adimu, zile galaxy zako ni bora uchukie moja tu tena chagua inayotunza chaji maana hamna umeme. Mimi binafsi ntakumiss sana hasa katika deal zetu za Japan na China. Ila natumaini kazi uliyoenda kuifanya ikikamilika utarudi tena.
Karibu sgda!!!!
karibu sana!! Uje na hiyo mihela !!!!!!!!
Unitafute ukija. Wewe wa kike au wa kiume?